Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kati ya Kokores na Weghorst aiseee bora ya Weghorst atakusaidia hata kukabia juu, ila huyu Kokores ni abiria tu uwanjani, yaani Tetea Kiwigi kama kweli ana akili ni mara 100 amuanzishe Kai Harvez timu ikipata matokeo ya uhakika ndio unaingiza hio Kokores.
Utd kupoteza leo itatusaidia kuingia sokoni haraka kusajili Dm kabla ya dirisha halijafungwa.
 
Na alivyo toka tu kokores akaingia kai Arsenal mbele kama walipata uhai ivi
 
Ninyi vibakà wa london mmefunga kiwete Manu kwa kubagatisha mtatupigia kelele siku nzima humu , ngoja mkutane na vidume Chelsea ,mtajuta kuingiza ndani hicho kikundi Chenu cha wanenguaji
 
Hapa bila kupepesa macho wamepigwa mchana kweupe huyu goli 15 hafiki.
1 vs 1 striker linaacha mpira nyuma, havertz ninaamini kagusa mpira mara nyingi kushinda gyokeres na bado dakika alizocheza ni chache
 
Top 4 mwaka huu kuna kazi.. Unaweza kusema ni mapema sana lakini Man utd mbali na kupoteza lakini kwasasa ni timu nyingine kabisa.. Unaona kuanzia katikati mpaka mbele wanaelewana na kuna kitu wanatafuta.. Ni vile leo bahati haikuwa kwao.
Mkuu kwanza hongereni kwa kujipatia 3points ugenini, kweli duniani mambo hua yanaenda yanabadilika, yaani siku hizi Arsenal inapata points kwa united hata ikicheza hovyo wakati zamani hata mkicheza vizuri mlikuwa hampati kitu.





#Arseno Ndoo
#Kokorez Kiatu
 
Ndoo ya kuchambia ama?
 
Hawa manjesta ni wake wetu halali hadi ukweni tunaweka tu
Ishu sio arsenal imecheza vibaya
Ishu no arteta hakujua anorin atakuja vipi ndio maana akaretreat tangu mechi inaanza ila kuanza na ushindi na clean sheet ni ndoto ya kila timu ligi kuu
 
Draw against villa, mkuu nyinyi hata false hope msimu hazitakuepo , team hata pasi 10 mnashindwa kupiga, haya magoli ya kona hata top 4 itakuwa papatupapatu tu.
Najua huwezi kunielewa hii August nyinyi ni slow learners utanielewa May huko
Tutaendelea kubishana na watu wa Cheltako na Manunu hmu ndani..sio nyukesto shehe....katika watu ambao Huwa siwafikirii ni nyinyi mna mnajulikana mwendo wenu.....Watu wanaacha mnalea mtu halafu wanakuja kienyeji kumteka....mchezaji kukataa kucheza akiwa na contract ya miaka 3 ni dhereu kubwa mno......msimu ujao na ka Gordon Nako katakaza makalio kanataka kundoka....tqfuta mtu wa Nottingham forest ndo ubishane naye sio hmu shehe
 
Ninyi vibakà wa london mmefunga kiwete Manu kwa kubagatisha mtatupigia kelele siku nzima humu , ngoja mkutane na vidume Chelsea ,mtajuta kuingiza ndani hicho kikundi Chenu cha wanenguaji
Ww ndo usisogee kabisa hmu ndani😀😀😀....nyny hata tukapige gemu huko mbinguni yaani hamtufungi.....timu Ina mwaka wa 20 haijatufunga lakini inakuja hmu kututisha....hii ni maajabu aisee
 
Jana ndo mkaamua kutoa mabomu na mapanga yenu yte lakini wapi😀😀😀....mm nawatakia kilq la heri mkuu mkikutana na kina Chelkenge....Livakuku na Mama cita....ila mechi na vitimu vngine vdogo mdundwe tu....Ubaya Ubaya tu
 
Presha ya OT
Game ya kwanza ya msimu
Watu wametoka pre season wapo fit na wapo home

Kupata points 3 haikua kazi nyepesi, tusubiri game ijayo kwa tasmini na uchambuzi. Hii tuiache ipite tu

Jana nyumbu wametupelekea sana moto. Mtu kwao. Sio kenge chelshit wale ambao tunajipigia tutakavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…