Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yule bwana tutampiga hiyo kesho kama tu mme anavyompiga mke wake chumbani, timu itayomaliza nafasi ya 8 haitakiwi kuwafunga sana
 
We are the favorite this season, nadhani tutamaliza wa kwanza as things stand, mimi sina hofu sana na majeruhi msimu huu,

Saka - Madueke

Saliba - Mosquera

Odegaard - Nwaneri

Yule bwana Jumapili ajiandae hapohapo ukweni
 
hapo kwa odegaard sasa replacement yke
 
Isak anatuletea ukenge ila si unajua matajiri wamegoma inatakia 150 pale ndo asepe , hawez kusepa kwa bei za kitoto yule
Siyo poa kabisa. Anatakiwa aheshimu mkataba wake na awe mstaarabu na ashiriki mazoezi na timu ili awe fresh kama hatauzwa aweze kusaidia timu. Hata hivyo Wissa naye nasikia anataka kuja kwenu na anafanya mambo haya haya ya Isak kule Brentford.
 
Bora umerudiii kuingia mitini kisa madueke ilikua si haki kwa false hoper yeyote yule
Nimesubscribe baadhi ya apps na email ninayotumia nilikua napata notifications jinsi kila mchezaji mnayemtaka anavyowakataa.

Mpo uefa ila mchezaji anaamua kwenda united. Your best player kwa kizazi hichi anagoma kurudi uwanjani na hamna cha kumfanya.

Arsenal ilimvunjia mkataba Auba na Ozil, Erik Kichwa Ngumu alimuweka benchi Ronaldo, ila timu yenu bado ndogo haiwezi kumudu kutunishiana msuli siyo na timu zingine tu bali hata na mchezaji wenu kabisa.

How does it feel? kua irrelevant wakati unahisi you are big enough?
 
Siyo poa kabisa. Anatakiwa aheshimu mkataba wake na awe mstaarabu na ashiriki mazoezi na timu ili awe fresh kama hatauzwa aweze kusaidia timu. Hata hivyo Wissa naye nasikia anataka kuja kwenu na anafanya mambo haya haya ya Isak kule Brentford.
Yaani hatuwezi sema Isak anachofanya ni kibaya kwakua Gyokeres alifanya hivyo hivyo kwa CP ili aje Arsenal.

Ni kama Liverpool ilivyokasirika Trent alivyogomea mkataba ila inafurahi Isak kua jeuri kwa Newcastle
 
Mambo vipi mkuu, good to see you around. Naiman mitikasi zinaenda poa pande hizo

Nakumbuka ulisema utapunguza kufatilia soka na sio kuacha kabisa
Jukwaa letu la arsenal kwasasa linakuhitaji zaidi ya kipindi chochote kile mzee
Bruv hii timu on paper ni ya moto. In practice I hope itakua same zaidi ya misimu mitatu nyuma na hili halitazuiwa na kiazi yoyote, hata mimi.
 
Yaani hatuwezi sema Isak anachofanya ni kibaya kwakua Gyokeres alifanya hivyo hivyo kwa CP ili aje Arsenal.

Ni kama Liverpool ilivyokasirika Trent alivyogomea mkataba ila inafurahi Isak kua jeuri kwa Newcastle

Yes. Ndiyo maana hata posts za nyuma nilisema Gyökeres hakufanya poa ila huenda tukaichukulia kama alifanya poa kwa sababu alipewa ahadi halafu timu yake ikakiuka ahadi hiyo. Ikaonekana kama alikuwa anadai haki yake halali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…