Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Inasemekana Saliba yuko mbioni kusaini mkataba mpya na sisi.

Kwa upande wa wachezaji muhimu kununuliwa na kushawishi tulio nao kuongeza mikataba (akina Gabriel, Lewis-Skelly...) tumefanya vizuri tu dirisha hili.

Kazi ipo kwenye kupata timu za kuwachukua wale tusiowahitaji (Sambi Lokonga, Vieira, Zinny...).
 
Tuliza mshono kuhusu hizo mbwiga dada yako na mkeo hazisaidii chochote kwenu nyie arsenal netflix. lazima tuwa shenyente, mpaka mseme kwanini bata huwa ana harisha maisha yake yote.
Man u nayo ni timu ya kuiwaza! Mechi ya Man U nishajiwekeaga nimefeli sana draw, hata aanze Lokonga na max dowman na Ethan Nwaneri
 
Usiku wa deni haukawii, Manyumbu wajue tu hiyo J2 tunafinya yani piga km mbwaa, si mlimvalisha hadi jezi
 
Wanangu mbona mikwara imepungua au bado hamjapiga mswaki. Flano, HENRY14, mkorea, King faisal, Will Jr, Bagabeach, Castr leteni tambo na majigambo. huku Chesko kule Nyokores.
Kuna yule ngongoti wa Psg Donnarumma wiki ya pili sasa kagoma kula anataka asajiliwe Manchester, naona kamati ya usajili kwa sasa nguvu nyingi wanazielekeza kwanza kwa Baleba, wakishakamilisha dili la Baleba goli kipa la mikono 100 linatua Trafford.
Hawa Kokores Fc washukuru sana tunacheza nao kabla ya hio miamba miwili haijatua Utd la sivyo tungewapeleka tena honeymoon ya goli 8 nyingine.
 
Nyumbuz Endeleeni kujitoa ufaham
Ushindi wenu kwa sasa ni draw tu, tena muitafute kweli kweli
 
Nyumbuz Endeleeni kujitoa ufaham
Ushindi wenu kwa sasa ni draw tu, tena muitafute kweli kweli View attachment 3438935
Mimi nawakumbusha tu na wala sina lengo la kuwatisha, Benjamin Šeško yule ni Haaland mtupu, tena Šeško amemzidi Haaland kwenye kasi, dribble na shot power.
Haaland ni striker ambae mpe assist anakuhakikishia goal lakini Šeško yeye anakupatia vyote.
Šeško ana uwezo wa kutokea kati au pembeni, kiufupi unaweza kusema Šeško ni mchezaji wa kaliba ya kina Sergio Agüero, Fernando Torres yule wa Liverpool au Eden Hazard wa Chelkenge.
Sasa kwa ile mi assist ya kina Bruno, Cunha, Amad na Mount sioni pahala pa kukwepea hatrick hiyo siku ya jumapili.
 
Hii risiti nimeitunza
 
Afu hawataki sasa, nyie kusajili mchezaji yoyote yani paka mtoe million 150 na paundi laki 4 ndio mchezaji akubali, sisi Gyokeres bei yake ndogo kuliko hoilundi na nzikeze, Zubimendi bei yake ndogo kuliko ugate, ahaaha! we have the pull bro, mmechoka km mbwa koko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…