Arsenal (The Gunners) | Special Thread

duh! Flano unajua kumwaga sifa au una undugu na Dotto magari
 
duh! Flano unajua kumwaga sifa au una undugu na Dotto magari
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hawa wateja wenu lazima tuwatishe kidogo ili akili ziwakae sawa, wakati sisi tunasajili wachezaji wenyewe wanaenda kutapeliwa na Chelkenge kwa kuuziwa reject za kina Madueke na Kepa Arrizabalaga.
 
HT: Arsenal 2-0 Athletic Club

The Arsenal have arrived for the 2025/26 campaign and so has Viktor Gyokeres!!!

Martin Zubimendi is also so so good.

Thoughts at the break?
 
Inasemekana Saliba yuko mbioni kusaini mkataba mpya na sisi.

Kwa upande wa wachezaji muhimu kununuliwa na kushawishi tulio nao kuongeza mikataba (akina Gabriel, Lewis-Skelly...) tumefanya vizuri tu dirisha hili.

Kazi ipo kwenye kupata timu za kuwachukua wale tusiowahitaji (Sambi Lokonga, Vieira, Zinny...).
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…