Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sesko hajashusha mshahara. Amewapunguzia tu dau alilokuwa anataka. Yaani kama alitaka 200, mmembembeleza amekubali 150. Bado mtakuwa mnalipa zaidi ya 100 zaidi ya alichokokuwa anachukua Leipzig.
Sio mbaya kikubwa ni kwamba anaipenda manchester united ndio maana aliwakataa arsenal Netflix na newtako.
 
Hatimae baada ya mechi zake saba akiwa na Arsenyau leo Kokores amebahatisha kufunga goli la kwanza kwa kichwa (free header)
Arsenyau nawakumbusha tu tarehe 17 msipoleta timu uwanjani tutawafata hukohuko kwenu.
Old Trafford sasa hivi ni fire
 
Sijawahi kumuita Air Sesko ila jamaa ni hatari hewani.
Kokores 7, Isak 5 na Halland 3 ndio sawa na Air Jordan (Sesko) mmoja.
HENRY14 yaani kuwatisha kidogo tu ndio mnataka mskip mechi ya tarehe 17?
Acheni woga leteni tu timu uwanjani, tutawagonga goli zisizozidi 3 hivyo kuweni tu na amani.
 
kuna wachezaji wawili nawaona kabisa wanaenda kuwa memes mitandaoni. Ustadhi Mbeumo na Sesko hizo picha zake anapaa angani sijui
 
kuna wachezaji wawili nawaona kabisa wanaenda kuwa memes mitandaoni. Ustadhi Mbeumo na Sesko hizo picha zake anapaa angani sijui
Hio tarehe 17 ndio utaprove mwenyewe kua Sesko na Mbeumo wanaenda kua memes mitandaoni kama Kokores.
Kikubwa kwa kua nyie ni washkaji zangu nawasanua mapema kabisa muwe makini sana na set pieces, huyo Sesko urefu wake amelizidi goli kwa futi 1.8 halafu kuna Yoro na Alhaji Magwire.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…