25 goals za G mabao kabla hatujafika mwezi wa tatu, tuombe uzima
Iweke vizuri hii risiti
Baleba ni mtu ila sesko mmepigwaHabari mbaya sana hii kwa Arsenyau, Tetea kiwigi tarehe 17 anaweza asilete timu uwanjani.
Kituo kinachofata tunaelekea Brighton kwenda kung'oa kisiki cha mpingo Carlos Baleba. View attachment 3435093View attachment 3435094
Mna penda kuji furahisha, subiri game ya kwanza ukanyagwe na wanaumeKumbe Sesko aligoma mpaka kula ili tu asajiliwe kwenye timu la dunia,
Aiseeee Man Utd ni lidude flani hivi likuuuubwa sana, yaani mpaka world class players wanaomba mishahara yao ipunguzwe mradi tu wakachezee hii timu.
Wapenda kandanda barani ulaya hua wana kamsemo kao wanasema:
"If you haven't played for Manchester United then you're not a footballer."View attachment 3435553
Mna penda kuji furahisha, subiri game ya kwanza ukanyagwe na wanaume
Fundi gyokeres, kamba mbili siku hiyoWanaume gani unaowazungumzia, hao kina Madueke?
mke wangu + dada zangu ni mashabiki wa manyumbu, nyie ni wake na dada zetu, Jpili tutawaonesha kazi hapohapo geto kwenu, geto la panya, a.k.a panya roadHumu ndani mkae mkijua mpaka saivi tumesha washenyenta bao 3+ akija baleba na kipa kama donnarumma mjue mnakufa 5+. HENRY14 .
Sesko mzuri ila kaenda timu la kingese atakuwa mlupo kama kina Hojlund, Sesko anahitaji development, angefaa kuwa material special for Mighty ArsenalBaleba ni mtu ila sesko mmepigwa
Tulia muone, kama sesko tu kaja kwetu na kushusha mshahara pia. Ndio utajua legacy ya ferguson bado ipo.Baleba anajua sana. Haawexi kuja kwenu nyie wachovu.
Endelea kuota.Yaani nyie tukiwahurumia sanaa, tumewapiga 3-0. Tukiuvaa ukauzu, si chini ya 5.
Tuliza mshono kuhusu hizo mbwiga dada yako na mkeo hazisaidii chochote kwenu nyie arsenal netflix. lazima tuwa shenyente, mpaka mseme kwanini bata huwa ana harisha maisha yake yote.mke wangu + dada zangu ni mashabiki wa manyumbu, nyie ni wake na dada zetu, Jpili tutawaonesha kazi hapohapo geto kwenu, geto la panya, a.k.a panya road