Hawa wahuni wameulizia muda wa mechi vizuri tu ila kutoa updates wamejikausha.
Utasikia, it is just a pre season bro, kwani spurs walikuwa wanacheza mechi ya uefa?
Jamaa bado tu haujatosheka na huu utapeli? Si tumeshawaokoa na faini za PSR kwa kuwachukua Madueke na Kepa?Wazee tuongezeeni angalau pesa kidogo kwa HARVETZ mfungaji pekee wa goli la UEFA vs Man city. Acheni ubahili basi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] 15 minutes of Gyokeres vs SpursTujadili team yetu Na performance yake
Huyu alishafeligi Epl. hapa Arsenal wamepgwa za uso.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] 15 minutes of Gyokeres vs Spurs
2 touch, 0 shoot, 0 on target. View attachment 3426529
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani hio pesa waliyopoteza ni bora hata wangewapa nyinyi mkawagea Teka la ball Kun Nicolas Jackson Aguero.Huyu alishafeligi Epl. hapa Arsenal wamepgwa za uso.
Mpe muda kidogo yeye na timu wakae sawa. 😀Yani huyu kayokores ndo mlikuwa mnatutishia nae?? 🤣🤣
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tena kombe la ulaya ambalo Arsenyau hawajawahi kubeba tokea dunia inaumbwa, kilichonifurahisha Spurs wamebeba kombe na kocha wamemtimua.asenyo spurs kainua kwapa mbele yenu [emoji1787]
Yani huyu kayokores ndo mlikuwa mnatutishia nae?? 🤣🤣
Siwaombei muwe na kikosi kama hiki coz nyumbu hamuhitaji kuwa na furaha kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hizo sajili 2 zikikamilika tu, nawashauri Arsenyau msilete timu uwanjani hio tarehe 17, la sivyo zile goli 8 tunaenda kuzifanyia anniversary. View attachment 3427155
Dah! Sometym huwa nawaonea huruma sana hawa watu. Ila vimdomo vyao sasa?