chatGpt yenyewe inatambua kuwa Arteta ni mkali wa mbinu, master tactician the world has ever seen, that's why inapoongea ubora wa Arsenal inaleta mambo kama tactical flexibility, tactical twist na vitu kama hybrid systemchat gpt anajaribu kuchambua mambo kuna namna admin wa chat gpt ni arsenal fan au hujamaa mkorea ndio anaiendesha chat gpt
inatabiri crown arsenal
😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa hilo mashabiki wa Arsenyau kwa kweli tuwape maua yao, hawa jamaa wana mioyo iliyoshiba matumaini.
Upande wa furaha sio kweli, takwimu zinaonesha mashabiki wa Arsenyo ndio viumbe vinavyoogoza kwa stress hapa duniani.
View attachment 3423375
dili la eze limepoa sana aseeeeBerta kama hana hela asema mashabiki tuchange kumnunua Eze
Arsenal waona at the age of 27, bei lazima ipoe. Wapo tayari kwa £60m adds on included. PALACE wanataka £60m plus adds on 8.dili la eze limepoa sana aseeee
Nimesoma sehemu, Arsenal ameisharudisha pesa za manunuzi ya Gyokeres kupitia mauzo ya jezi yake
Nadhani ni watu wanaongeza chumvi kidogo.Nimesoma sehemu, Arsenal ameisharudi pesa za manunuzi ya Gyokeres kupitia mauzo ya jezi yake
Nane na nusu mchanaLeo game yetu ya Tottenham saa ngapi?
8.30 mchanaLeo game yetu ya Tottenham saa ngapi?
Poa poa mkuu ..always the gunner!8.30 mchana
Sa nane na nusuLeo game yetu ya Tottenham saa ngapi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Naskia Nyokores amepiga hatrick, hawa wahuni badala ya kusajili mchezaji wameenda kusajili bouncer.matokeo vipi gunners wenzangu?