Sawa lakini haibadili mtazamo wa kwamba Slot ni kilaza 😁So sad ndio nini???
There is no single Arsenal fans with Brian.
Tofauti ya Arsenal na Real Sociedad alyotoka huyo Zubimendi ni different league tu lakini vingine vyote mpo sawa TROPHYLESS AURA.
Yetu macho,,,, tuombe huu usajili uende vizuri apafom vyema !Kuna marekebisho kidogo. Hapana, hatujaongezewa bei kwa Viktor bali tumeshushiwa bei tena kiasi kikubwa tu.
Viktor ana release clause ya €100m. Sisi tumeuziwa kwa €63.5 + €10m kwa add-ons. Akitimiza hizo add-ons maana yake ni tutalipa €73.5m, ambayo ni chini ya 3/4 ya bei yake. Ni gharama nafuu kuliko Ekitike, Šeško, Isak, Mbeumo, Matheus Cunha na hata Eze, ikiwa tutampata.
Sioni kama ni usajili mbaya ukizingatia hayo. Hii imetuzewezesha pia kuwekeza kwenye kipa mpya, beki mpya na mido wawili wapya kusaidia timu kuwa na mbadala.
Utd usiihesabie, kwanza hawana michuano ya ulaya(hii inapunguza ushawishi kwa wachezaji ), pia wanajitafuta, kimsingi wana matatizo yao mengi tu ! Mm namaanisha timu kama Madrid, bayern, barca, juve, city , liver ,,, kuna tumu ilimtaka hapo ikamkosa ?Siyo kwamba tulikuwa wenyewe tunaomtaka. Tulimtaka wengi ila yeye alikomaa kuwa anataka kuja kwetu tu, hivyo wengine wote, mfano Manchester United, wakajikuta hawana nafasi ya kumchukua.
Hapo mpaka nipekue mitandaoni kwa kweli. Habari kubwa ni Manchester United na timu za Saudia.Utd usiihesabie, kwanza hawana michuano ya ulaya(hii inapunguza ushawishi kwa wachezaji ), pia wanajitafuta, kimsingi wana matatizo yao mengi tu ! Mm namaanisha timu kama Madrid, bayern, barca, juve, city , liver ,,, kuna tumu ilimtaka hapo ikamkosa ?
Mje mjichanganye labda mshinde kwa zile kona zenu.Zubimendi na merino ndio engine ya timu ya hispain,
Hao wote wawili wapo arsenal na game ya kwanza tunaanza na nyumbu
R.i.p to nyumbuz
Dah umetish sana 😁So sad ndio nini???
There is no single Arsenal fans with Brian.
Tofauti ya Arsenal na Real Sociedad alyotoka huyo Zubimendi ni different league tu lakini vingine vyote mpo sawa TROPHYLESS AURA.
Huyu Madueke inaonekana kanunuliwa kwa upuuzi wa Arteta.Arsenal's summer so far:
Kepa Arrizabalaga: £5M.
Martin Zubimendi: £56M.
Christian Nørgaard: £12M.
Noni Madueke: £52M.
Viktor Gyökeres: £63.5M
Christian Mosquera: £17M
Eberechi Eze
Total: £205.5M and counting
View attachment 3415001
Andika tu kiswahili ndugu.So sad ndio nini???
There is no single Arsenal fans with Brian.
Tofauti ya Arsenal na Real Sociedad alyotoka huyo Zubimendi ni different league tu lakini vingine vyote mpo sawa TROPHYLESS AURA.
Hahahaha hawa akina Madueke wana vikombe vyao flani hivi huwa wanavichukua, halafu hawana hat furaha navyo, wanakabidhiwa wamekaa kinyongee.CHAMPION OF SINGAPORE😁😁😁😀😁
Hongera nyingi Kwa Captain Odegard kushinda kombe la kwanza akiwa Arsenal.
View attachment 3416088
Kakubali katoa sehemu ya mshahara wake ili dili litimieDogo ana upepo, kakubalika na mashabikiView attachment 3416074
Zubimendi na merino ndio midfield engine ya hispain. Epl safari hii watatugea lawama tuZubimendi ananikumbusha Vitinha na Neves dhidi yetu na PSG, touches nyingi zinazoipa timu control ya kumkera mpinzani, kama kaishiwa pumzi afu bado unamkaba koo.
Hawa Man u mbona itakuwa aibu siku tukikutana, hapo bado EZE
Tunaanza na hili halafu tutaendelea na kumalizia na mengine. Huu mwaka wetu huu.CHAMPION OF SINGAPORE😁😁😁😀😁
Hongera nyingi Kwa Captain Odegard kushinda kombe la kwanza akiwa Arsenal.
View attachment 3416088
Haaahaa! mambo yetu haya na kina BonnyWazee wa kibanda umizaView attachment 3416209