Unafikiri Arsenal hawana hela y kumnunua Gyokeres , sema anachofanya Arsenal ni utoto, ameshajua mchezaji mawazo yake yote yapo Arsenal ndio mana hajishuhulishi kubagain, mana wametofautiana buku jero tu, sasa Arsenal wanashindwa kutoa hiyo buku jero kweli?Kwa sababu Victor tunashindwa kumnunua ndo maana hela inaniuma. Bila hivyo hata wangetoa zote me sina shida
Kama mnataka si mumsajili Sasa mbona mnamsumbua tu mtu kawaganda kama kunguni msajilini watu wafocas na sajili nyingine tumechoka kila saa victor victorSijaona wa kumzuia kuchukua kiatu
Chances created by odegard zinaenda kumpata mtu sahihiView attachment 3414029
pole kwa kuchoka mkuuKama mnataka si mumsajili Sasa mbona mnamsumbua tu mtu kawaganda kama kunguni msajilini watu wafocas na sajili nyingine tumechoka kila saa victor victor
Mtoto mkali akikuzimikia kuna jeuri na kiburi flan hivi vinakujaga daah, akichoropoka ndo akili inakukaa sawa. Litatukuta Arsenal tuje tulie kilio cha mbwa koko, tusije tu tukaishia kwa Nikolo JacksonUnafikiri Arsenal hawana hela y kumnunua Gyokeres , sema anachofanya Arsenal ni utoto, ameshajua mchezaji mawazo yake yote yapo Arsenal ndio mana hajishuhulishi kubagain, mana wametofautiana buku jero tu, sasa Arsenal wanashindwa kutoa hiyo buku jero kweli?
Ni sawa na msela kuzimikiwa na Mtoto mkali, hutumii pesa nyingi na wala hubembelezi sana.
Hata sisi tumechoka bro. Tunawaona kama Sporting ni wahuni wahuni na wanatufanyia uhuni. Tayari wanajaribu kuwaita Manchester United na timu za Saudi ziingilie dili ambalo tunaona kama asilimia 90% tumeshakubaliana na mchezaji ameshasema anataka kuja kwetu.Kama mnataka si mumsajili Sasa mbona mnamsumbua tu mtu kawaganda kama kunguni msajilini watu wafocas na sajili nyingine tumechoka kila saa victor victor
Goal machine gyokeres welcome home
Arteta asipobeba epl or uefa (lakini asilimia kubwa epl coz hesabu zake zinapangika) basi ataamsha. Hii hakuna kutia hurumaSasa ateta lawaman Mwisho wa msimu aspo chukua ndoo
Game ya kwanza tunaanza na nyumbu🤣🤣🤣Kuna timu hazitoleta wachezaji uwanjani 😁View attachment 3414626
Mwenye mchezaji wetu tunaogopa, hao nyumbu sijui wako kwenye hali gani 😂Game ya kwanza tunaanza na nyumbu🤣🤣🤣
Shida sio kumfunga Manchester.....embu ona akili za watu wa arsenal ..mnasajili kumfunga Manchester.? Ubingwa mtakua hivyo hivyo mnausikia kwenye Bomba ... mnakimbiza weeee mwisho wa siku mnakuja hapa kulialia ...mnafikiri kuchukua epl ni kama unachukua toilet paper kwenda kunya....Game ya kwanza tunaanza na nyumbu🤣🤣🤣
Haha 🤣 🤣 🤣Game ya kwanza tunaanza na nyumbu🤣🤣🤣
Uzuri siku zinasogea...nyny hata twende tukacheze mbinguni hamtufungi😀😀...Kila msimu tukianza tunajua kabisa kwa uchqche tuna point 4 kutoka kwa majirani zetu Chelsingeli....na tumemchukua madueke madunduka safari hii tunabeba alama 6 kabisa....Usiishi kwa mazoea blaza, shauri yako! Jua mnaenda kukutana na Bingwa wa vitimu vyote vya hapa duniani. Usiseme sijakutahadharisha. Muulizeni mbabe wenu PSG
Ninyi ni wachumba tu ,hamna ubavu wa kupambana na majike shupa ya timu ya wanawake ya pale Stamford Bridge ,acheni kujitoa ufahamu ,yaani Chelsea ni serial winners timu ya wanawake na wanaume ,timu yetu ya wanawake msimu huu ulioisha wamebeba trebble yaani vikombe vitatu , imagine . Ninyi timu yenu ya wanawake ni kubinua makalio tu uwanjani