Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Litapigwa 433 moja matata lenye Olivia, Russo na Kelly pale mbele. Yale mabio yao hakuna beki atakayoyaweza. Nyuma yao Mariona akipenyeza through balls kama Xavi... wapinzani wameisha aisee.
McCabe na Catley watafurahi sana kwa sababu alikuwa anawatesa sana
 
Wanawake wamemchukua Olivia Smith wa Liverpool kwa world record fee ya 1 million pounds.
Hapo Kelly naye tayari, na kipa mpya...
Wapewe tu makombe yao mapema.

Bado wanaume sasa kufanya maajabu.
Bora nishangilie wanawake, soka zuri na vikombe, hata tukifungwa nitaona watoto wazuri.

Huku kwa kina madueke, napumzika kidogo πŸ˜‚πŸ€£
 
Mimi sijawahi kuona uhasimu wq Arsenal na Chelsea, ni nyinyi tu Chelsea fans ndio mnalazimisha, Chelsea ni km Liverpool au Man City, kwetu ni timu kama zingine, hasimu wa Arsenal kwa uingereza ni Spurs remember NLD. kwa duniani Man Utd, ule uhasimu wa Arsenal vs Man utd hii hata shule tulikuwa tunacheza hizi mechi
 
kuna mwezi tulifunga goli moja huku tukila vichapo vikali nyie aseno ndo mlikuwa wa kwanza kutuandama
 
Kama wewe huoni waache wanaoona. Ndio maana nikasema wewe bado ni mchanga kwenye ushabiki wa mpira hasa ulaya. Huu upinzani hatujaanzisha sisi wasukuma tulioko huku Tanangozi au wachaga walioko Mugango, upinzani ulianza miaka. Lakini sio mbaya kujaribu kuchagua mpinzani ambaye unammudu kwa sasa japo naye keshaanza kukupiga gap. Sisi ngoja tukomae na Fulham.

Lakini pia sawa sisi ngoja tuendelee kulazimisha kama unavyojiaminisha
 
Bora nishangilie wanawake, soka zuri na vikombe, hata tukifungwa nitaona watoto wazuri.

Huku kwa kina madueke, napumzika kidogo πŸ˜‚πŸ€£
Bora uone boli kali la Slegers huku ukiwacheki kina Kelly na Walti na vibukta vyao vidooogooo, kuliko kucheki boli kali la Arteta lenye akina Madueke na Kepa? πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Bora uone boli kali la Slegers huku ukiwacheki kina Kelly na Walti na vibukta vyao vidooogooo, kuliko kucheki boli kali la Arteta lenye akina Madueke na Kepa? πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…