Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Kwa hii hali kweli tusiwatanie kweli?! Hata kama mnalia hamtaki utani na sisi. Ndio useme wa hapo juu anatamani kuwa wa mwisho. Si bora ungetutukana tu tujue umetutuka.
 
Hata kama ni wewe utaacha kurusha ngumi? Utaacha?
Yaani Luis Enrique ameona juzi tu ametoka kubeba Uefa na Ligue 1 halafu umfananishe na Tetea Kiwigi kweli?
Bora Joao Pedro angetuka tusi la kawada Luis Enrique angepotezea, lakini kumfananisha na Masterclass in failure hilo ni zaidi ya tusi, hata lile kofi halitoshi angempiga ngumi ya pua kabisa.
 
Arsenal ndo wasahau kuchukua ubingwa kwa miaka hizi mitano mbele make washindani wake wanazidi kuimarika ila wao wanazidi kushuka kiwango na kuanza tena kutengeneza timu.

Wanachokosa ni bahati pamoja na mipango madhubuti kimbunu namna ya kumaliza mwendo; wao wanajikita kwenye mbinu ya kuanza mwendo tu.
 
Ukweli mchungu
 
Rodrygo ni bora zaidi kwa hii MADUEKE, basi tu.
 
Rodrygo ni bora zaidi kwa hii MADUEKE, basi tu.
Yes.

Huenda ingekuwa poa kukomaa na Gyokeres na Mosquera kwanza halafu tumkamate Eze na tuachane na Madueke kwanza. Hapo tungehangaika na mauzo halafu mkwanja ukipatikana tukamchukue Rodrygo hata mwezi wa 8 huko. Kama tungeshindwana bei na Madrid, basi Madueke inaonekana ingekuwa suala la kupiga simu moja tu na kumpata kwa bei chee maana Chelsea wanahitaji kupunguza kikosi chao.

Labda sasa tunataka kukamilisha madili mapema ili tuanze msimu vizuri ndiyo maana tumemchukua Noni mapema.
 
Hongeri wanangu Gunners kwa kukamilisha sajili ya winga teleza Noni Yamal Madueke.
Uzuri wa Arsenyashi kwenye kusajili takataka mpo fasta kwelikweli, ila linapokuja suala la kusajili mchezaji wa maana mtajizungusha kama vile mmekewa gumzi matter konny.
 
Noni haikupaswa kuwa biashara ya mapema, tungeringa, jioooni kabisa tungepata kwa bei chee, kifupi anaefanya biashara sidhani kama anajielewa.
 
Tunaongeza takataka kwa kweli...
Huyu MADUEKE nimewahi kumuona mara 2 tu, na zote hizo nikaamini mie nikifanya mazoezi ni bora kuliko yeye, sasa imagine mchezaji kama huyu ndio anakuja arsenal..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…