Ninyi pimbi amkeniiii ,mnalala mna raha gani ninyi nyau ?
Punda kabisa ninyi .
Yaani Crystal palace kabeba FA na kuileta London , kibonde Tottenham kaleta Europa league trophy London , Sisi kings wa London tumeleta makombe mawili Conference league na FIFA world cup London kwa mpigo , ninyi arsenyani kazi kupiga nyetoz tu na kuleta aibu London , ninyi ni viazi kabisa. Inabidi mfukuzwe kabisa London ninyi Fisi maji