Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyo Fabregas kipindi yupo AseNYETO alikuwa ni balaa.
 
Kila msimu mna jambo lenu, nyie ni kenge maji.
Madueke n squad player, anakuja kumpa challenge martinel au anakula bench (mchezaji wa sub)

Msimu huu tuna jambo letu, mchezaji wa sub tunamchukua kwa €52m. Nyumbu hamuogopi?
 
1. Carzola
2. Kanu
3. Podoski
 
Samir Nasri
Aaron Ramsey
 
Madueke, Havertz , Sterling
 
sol campbell, gilbeto silva ..ata kwenye bonus hawapo??
 
Wapi robert pires? Freddie ljungberg, lee dixon, tony adams, ian wright, ashley cole... Jens Lehman, gilberto silva.. mtakatifu CAZORLA,

Hawana nafasi kabisa, kuna watu wanatakiwa kutoka hapo, waingie kina pires, gilberto silva, jens lehman, CAZORLA
 
Gilberto Silva, Pires, Freddie...i stand to be corrected, kuna watu kama Dixon/ Wright sijawahi kuwashuhudia live
 
Gilberto Silva, Pires, Freddie...i stand to be corrected, kuna watu kama Dixon/ Wright sijawahi kuwashuhudia live
Gilberto silva, pires na Freddie wanahitajika top ten
Lee Dixon alikuwa mchezaji mzuri, ian Wright ni legend, japo kama utapanga kikosi atakosa namba sababu ya Henry na bergkamp. Ila pires kwenye kikosi ni panga pangua
 
England winger Noni Madueke has played five times for Chelsea in the Club World Cup - but will not be featuring today.

That is because he's closing in on a £50m move to Arsenal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…