Nilichogundua mashabiki wengi wa Arsenyashi wanam-underrate Madueke kwa vile tu Masingeli amelikimbia hili jukwaa.
Nina uhakika
hamis77 angekuwepo humu angempamba Madueke kama vile alivyompamba Harvez na misukule yote ikaingia kwenye mfumo wa kusifu na kuabudu.
Sema lile jamaa lilikua linajua sana kushawishi, halafu lilikua linawachukulia mashabiki wa Arsenyo kama matakor yake.
Hizi hapa chini ni nukuu zake kuhusu Kai:
"Kai ni mzuri kwenye aerial duel, Kai ni mnyumbulifu, Kai ni king of pressing Epl.
Nketiah sio presser Kama Kai ,huwezi kutaja wachezaji wanaojua ku press EPL watano ukamuacha Kai havertz."
View attachment 3401954