Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ifikapo saa 4 usiku nawakaribisha kuangalia mechi ya mwanaume wa London, mkishuhudia tukiingia fainali na jiji lote la London kuweka historia mana akina mama mnashindwa kufika wanaume tulipo 😎
 
Msimu wa 23/24

Wa kwanza kwa chances ni Bruno, wa pili Paskal wa tatu Martin Odegaard.

Huu msimu Cole alikua wa ngapi?

Msimu wa 24/25

Wa kwanza ni Bruno

Wewe hizo takwimu feki za Cole kuongoza umetoa wapi?
Bruno ana goli ngapi?. odegard ana goli ngapi?. mbona umebase upande wa kutengeza nafasi tu?.
 
Msimu wa 23/24

Wa kwanza kwa chances ni Bruno, wa pili Paskal wa tatu Martin Odegaard.

Huu msimu Cole alikua wa ngapi?

Msimu wa 24/25

Wa kwanza ni Bruno

Wewe hizo takwimu feki za Cole kuongoza umetoa wapi?
Mkuu wewe hizo takwimu umetoa wapi?πŸ˜‚ Kwa no. 10 Msimu wa 23/24 acc to sofascore aliongoza Bruno na kdb....wakafuata palmer na odegaard....Msimu wa 24/25 aliongoza palmer akafuatiwa na Bruno.....
 
Huy
Huyu Maresca naye amekuwa msemaji zaid siku hizi. Timu ina wachezaji zaidi ya 40 halafu wamecheza mechi 63 tu hiyo ni shida yetu au yake kutofanya rotation? Ila akibahatika kukibeba hicho kikombe atajisifia ila sasa hivi analia na wingi wa mechi, si atoke!
 
Mkuu wewe hizo takwimu umetoa wapi?πŸ˜‚ Kwa no. 10 Msimu wa 23/24 acc to sofascore aliongoza Bruno na kdb....wakafuata palmer na odegaard....Msimu wa 24/25 aliongoza palmer akafuatiwa na Bruno.....
Haupo serious.

Comsult upya sources zako
 
Jukwaa linahitaji mashabiki aina yako, optimistic, obsever, smart thinking lkn unfortunately tuna watu wa "mara huyu mbaya tumepigwa, mara hatuwezi kushinda chochote, sijui ooh Arteta ndio anaua timu" yani ukiingia humu unasoma comment dakika moja unatoka, vinginevyo unajikuta unatukana mtu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…