Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kenge wakasema mazungumzo ya Noni yaende sambamba na Nwaneri. Wakagomewa.

Wakasema basi ahusishwe Max Downman, wakagomewa pia.

Kenge wanakomaa kumtoa Noni na ninawasapoti mia ya mia
 

Octopus kuna wabaya wetu walikuwa wanatutegea tumpe mkataba mpya halafu akisaini na msimu mpya ukianza tu wanaanza kumpeleka mahakamani na kumtoa kwenye mfumo. Sisi hapo tunabaki na Zubimendi tu, hatujamnunua Norgaard.

Ila Berta ni Mmafia akaushtukia mchezo akatoa ofa mezani.

Tukiacha haya mambo serious, mimi kweli sikuona kama Partey ni mtu wa kumuongezea mshahara wala mkataba wa zaidi ya mwaka mmoja, miwili ikibidi saaanaa. Huu ndiyo msimu ambao ameweza kukwepa meza ya matibabu. Amekuwa kama wachezaji wengi ambao wanacheza vizuri msimu wa mwisho au kuwa fit msimu wao wa mwisho wakiwa wanataka mkataba mpya.
 
Ishu ya Rodrigo sioni km tumeichangamkia kiivyo naona kama tupo nje ya.. Wala sijaona kuna timu zmeonyesha nia ya kumuhitaji may be muda bado ama ni bei yake kubwa
a a
 
Kenge wakasema mazungumzo ya Noni yaende sambamba na Nwaneri. Wakagomewa.

Wakasema basi ahusishwe Max Downman, wakagomewa pia.

Kenge wanakomaa kumtoa Noni na ninawasapoti mia ya mia
Kuna mtu aliwahi kusema mwaka jana km sikosei kua Kenge Summer ukienda unajichotea tu wachezaji maana wanakontena la wachezaji naona sasa yameanza kutokea
 
Tunajitaji mtu wa kuweka mipira nyavuni

Hizo high ceiling, sijui runner hazikupi kitu mwisho wa michuano.
Kuna kipindi katika analysis arsenal tulikua vizuri kwenye overload, sjui high pressing. Mwisho wa siku ndio zikawa zinatumika hizo hizo kutukanwa humu
 
Inasemwa kwamba Sesko alikimbia kushindania namba na Kai so hataki yajirudie.

Lakini pia DOF wao hataki majadiliano chini ya 90M. Huwezi lipa hiki kiasi kwa magoli 13 ya La Liga
*Bundesliga
 
Tumalizane kwanza na Gyokeres, then Mosquera, then Eze. Baada ya hapo tuka bargain kimalingo kwa Rodrigo, Sesko.

Badala ya Madueke kwanini tusimfate Kudus. Yule tukigusa kidogo tu hachomoi, hakuna mchezaji asiye itamani arsenal sasahivi, kwanza arsenal damu kabisa yule
 
Daah leo hii mpaka mkorea anaongea hivi tena kwa uchungu ujue akili zimeanza kurudi mahali pake, Mkorea wewe si ndio ulikua mpiga zumari mkuu wa yule motivational speaker wenu Masingeli?
Lile jamaa lilikua na ushawishi wa hali ya juu sana, alijua kuwalisha upepo na analysis zake uchwara za pressing na overloading, positional interchange, flexibility na aerial duel, mambo yalivyokua magumu ikabidi liwe linapigwa haram football akahamia kwenye kusifia set pieces na nyinyi chawa zake mkawa mnaimba mapambio humu ya kusifu na kuabudu.
Sijui hata liko wapi sasa hivi Cha-mbuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi, Mkurugenzi mkuu wa taasisi kubwa kabisa Africa mashariki na kati
hamis77 Integrated Investment Co. LTD
 
Kabla ya msimu kuanza mnakuwa na matumaini mengi kama haya ila ikifika ligi imeanza ssa nyie hao hao maanza kupiga makelele Arsenal ni ile ile hata aje nani ubingwa wenu ni kushika namba 2 ndio kombe lenu viande nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…