Katika jambo nilicheka na kuona hatuko serious ni kwenye usajili wa LUIS SUAREZ. 🤣😂Arsenal iliwahi kuhusishwa na kumnunua Higuain au Suarez.
Dirisha likafungwa akaja Yaya Sanogo.
Kwahiyo mnaofurahi Noni kusajiliwa mkidhani kwamba yeye anakuja na Eze na Gyokeres au Sesko anakuja itakua hamuijui Arsenal.
Atakuja Noni halafu Eze, Gyokeres au Sesko utaambiwa pesa haitoshi.
Trossard ataongezewa mkataba na usajili ambao tuliambiwa utakua wa kujiandaa na kuchukua makombe unakua umeishia hapo.
Manina
Berta atawanyamazisha tu wanaombeza,Arrizabalaga
Zubimendi
Nørgaard
Gyökeres
Mosquera
Rodrygo
Eze
Madueke
Andrea Berta is cooking.
Arsenal Football Club will be unstoppable next season
kwa sasa tunahitaji mfungaji tu basi, nafasi tunatengeneza nyingi ila mpira wavuni hauingii suruhisho ni Victor.Gyokeres ni mzuri anafunga pia lakini Sesko ana high ceiling kuzidi hata Earling haaland.
Timu nyingi zina shida ya St why hakuna kugombaniwa kwa washambuliaji hao sokoniMwanzo tuliona taarifa kuwa Sesko ni chaguo la Arteta, Gyokeres ni chaguo la Berta kitambo sana, ila wameafikiana wamlete gyokeres, you know why? everything is about funds & budget, price ya Sesko ipo juu, leipzing hawakupi room for negotiations kama huna €90m, so we opt for gyokeres nadhani ili tusiharibu pesa ya kusajili kwenye nafasi nyingine, the same applied kwa watu km Sterling, Kepa etc unaangalia kile unachoweza kukiplatform na kuleta impact kwenye system uliyonayo, sio kwamba watu hawajui kwamba kuna better option, wanajua, shida money is scarce.
Uwe na Sesko na Gyokeres kwa wakati mmoja??? Si ndo kitatokea kile kile cha halland na Alvarez mmoja lazima atimke tu ?Mimi ningekuwa Arteta next season ningemuuza Havertz afu namsajili Sesko, nimesikia Kai kuna Club za ujerumani zinamtaka.
Unajua tulikuwa na fursa ya kujenga timu moja tishio sana kwa kipindi hiki lakini ni kama tuna comprise standard kwa kuacha option A.kwa sasa tunahitaji mfungaji tu basi, nafasi tunatengeneza nyingi ila mpira wavuni hauingii suruhisho ni Victor.
Inasemwa kwamba Sesko alikimbia kushindania namba na Kai so hataki yajirudie.Gyokeres ni mzuri anafunga pia lakini Sesko ana high ceiling kuzidi hata Earling haaland.
Kwani kuna shida gani? asiyejua atamkimbia anayejua, volume & output. Ni kama Case ya Rodrygo Real MadridUwe na Sesko na Gyokeres kwa wakati mmoja??? Si ndo kitatokea kile kile cha halland na Alvarez mmoja lazima atimke tu ?
Kwa jinsi ilivyo unaamin sesko alikua ni option A na Gyokeres ilikua ni Option B??? Siamin kama ni kwel ila nachoamin ni kilichotekea january kwa sesko ni kama kilichotokea kwa Caicedo january alf baada ya hapo summer kikatokea na RiceUnajua tulikuwa na fursa ya kujenga timu moja tishio sana kwa kipindi hiki lakini ni kama tuna comprise standard kwa kuacha option A.
Real Madrid, PSG, City tunahitaji kwenda nao jino kwa jino japo wao wana mkwanja mrefu wa kusajili option A kuliko sisi.
Kuna uwezekano mkubwa Kai na Trossard wakaondoka msimu huuMimi ningekuwa Arteta next season ningemuuza Havertz afu namsajili Sesko, nimesikia Kai kuna Club za ujerumani zinamtaka.
Usajili wa Sesko ni bei lakini namuona kama ilikuwa ni target kitambo, mazungumzo ya Sesko na Arteta tumesikia toka last summer kama siyo January kama sikosei, ila dirisha hili kuna mtu anaitwa Rodrygo, nadhani kocha kaona he's attainable sasa he becomes our main target akili yote imeamia hapaKwa jinsi ilivyo unaamin sesko alikua ni option A na Gyokeres ilikua ni Option B??? Siamin kama ni kwel ila nachoamin ni kilichotekea january kwa sesko ni kama kilichotokea kwa Caicedo january alf baada ya hapo summer kikatokea na Rice
Kwa Trossard yes lakini kai sidhani, sababu tutabaki na striker mmoja, akiumia jeKuna uwezekano mkubwa Kai na Trossard wakaondoka msimu huu
Acha uongo wewe hataki yajirudie lini Kai na sesko walicheza timu Moja Karne hii hamna mtu wa kumdanganya sema tu kalikataa timu lenu yaani sesko amkimbie Kai hivi vitukoInasemwa kwamba Sesko alikimbia kushindania namba na Kai so hataki yajirudie.
Lakini pia DOF wao hataki majadiliano chini ya 90M. Huwezi lipa hiki kiasi kwa magoli 13 ya La Liga
Yah bei kubwa lakini unamuonaje ku compare na our new #9Inasemwa kwamba Sesko alikimbia kushindania namba na Kai so hataki yajirudie.
Lakini pia DOF wao hataki majadiliano chini ya 90M. Huwezi lipa hiki kiasi kwa magoli 13 ya La Liga