Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tumenunua mchezaji kutoka Chelsea au kwa mkopo almost kila msimu, tangu asainiwe Luiz ni msimu mmoja tu ndiyo tulipita wima.

Luiz, Willian, Jorginho, Kai, Sterling, Kepa

Katika hawa ni yupi aliwahi kuonyesha quality? Katika hawa kuna mmoja hapo alifanya blunder ya ajabu tukakosa kombe.

Ujinga
 
Binafsi napenda sana kuheshimu maamuzi yanayofanywa na mtu/watu hasa ikiwa yanahusisha taaluma/ujuzi ambao Mimi Sina weledi nao.

Lakini hii hainizuii kutumia akili yangu.kwanza Moja ya team zimeonekana kuwa na poor scouting team ni chelsea.ni kama maranyingi hawajui wanataka Nini na eneo gani na kuna mifano mingi mno kuthitisha hilo.

Mchezaji yoyote unayemnunua Chelsea kwa miaka ya karibuni jua huyo ni uthibitisho wa poor scouting na failed project.

Unaponunua mchezaji anakuwa ni either an instant project or potential project.kwa wachezaji wote tulionunua Chelsea sijawahi ona chochote kati ya hivyo.Ukitaka kujua hilo angalia resale value yao.karibu wote waliondoka bure toka kwetu na baadhi wameteseka kupata team au wakastaafu kabisa.


Sina tatizo na madueke wala kepa ila nna tatizo na think tank ya arsenal.jiulize Leo ukiamua kumuuza Kai utapewa sh ngapi?wakikupa £30m ni hisani tu hiyo.ukitaka kujua hilo angalia wakati huu tunamtaka sesko na victor nani anaonyesha interest na Kai?

Tunapoleta mshambuliaji mpya maana yake muda wa Kai unazidi kupungua uwanjani kama anagekuwa ni instant or potential project lazima vurugu na sarakasi za kuondoka zingeshaonekana au kusikika.


Bad news tunawalipa mishahara mikubwa mnooo.
 
Akili ya kibwege hiyo. Arteta.
 
Wa hivi karibuni umemsahau petr cech kipa
 
Msimu ule nilitaman guirrasy asajiliwe haikuwa hivyo, leo jonathan david anaenda juve, free agent, sie bado tunasaka mshambuliaji, na umaweza kukuta danadana na asisajiliwe strikers, hili chama miaka ijayo linaweza kuwa sababu kuu ya magonjwa yasiyoambukiza
 
Fun fact: the arrival of Kepa means that #AFC have now signed more goalkeepers than forwards (wingers/strikers) under Mikel Arteta.

Seven goalkeepers: Runarsson, Ryan, Ramsdale, Turner, Raya, Neto, Kepa

️Six forwards: Willian, Jesus, Trossard, Marquinhos, Havertz, Sterling
 
Mimi uwa simkubali hana tofauti kubwa na Havertz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…