Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yeah hamna kocha mle, tutabaki vile vile.
 
nafikiri sio laazma kutukanana ila ni muhimu muda huu tukaijadili timu yetu hata tukibishana sio mbaya msimu ukianza tunakua pamoja
 
Arteta kamwambia tajiri mwembamba Stanley Kroenke kua wakifanikiwa kumsajili Madueke basi msimu ujao Epl ni mali yao.
Tetea kamdanganya tajiri kua msimu huu walikua wanabeba ndoo ila majeruhi ya Saka ndio yamewakosesha kombe.
Hivyo Tetea anapigania dirisha hili la usajili apate back-up ya Saka, Tetea anadai kusajili striker sio kipaumbele kwao, maana Moringo na Kai wanaimudu vizuri hio nafasi.
 
🚨 BREAKING Arsenal imewasilisha ofa ya kwanza kwa Chelsea kumsajili winga wao Noni Madueke.🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🔴

Madueke yuko kwenye orodha ya Arsenal lakini bado wanafikiria kumsajili Rodrygo kama ataondoka Real.

Source Pletti Goal
 
Tuna bodi ya kijinga sana.

Kuna nini wanachoona ambacho wengine hatukioni?

Madueke anawekwa benchi na Saka timu ya taifa ya nini kumleta kwenye klabu na unajua hatocheza? Kugawa mishahara ya bure siyo?

Mpaka leo Kai hajasettle kwenye preference ya mashabiki wote unatoka hapo unaleta Sterling, unaleta Kepa na sasa hivi Madueke.

Erik alivyoondoka siri ya sajili zake za kupiga pesa zikavuja. Arteta akienda kuna vitu tutajua.
 
Sources suggest that there is a total verbal agreement between Arsenal and Viktor Gyökeres over a contract until June 2030, with an important salary and signing bonus.

As of today, there were no talks between Sporting CP and Arsenal—no official offer or any talks. However, the situation can change in the next few days.

Everything is verbally agreed upon! As informed before, Viktor Gyökeres is impressed "by Arsenal's project plans and would love to join and play under Mikel Arteta. ❤️👊🏻📝💥✍️🏻

Via: 𝐄𝐧𝐨𝐜𝐤 𝐊𝐨𝐛𝐢𝐧𝐚 𝐄𝐬𝐬𝐞𝐥
 

Arsenal 'close to reaching verbal agreement' with in-demand Viktor Gyokeres​

Arsenal are reportedly close to sealing an agreement for in-demand Sporting Lisbon forward Viktor Gyokeres as they look to complete a double attacking summer swoop.
 
Kam Kama kweli tutampata itakuwa vizuri. Nimeamua kuwa mroho kama Castr na sasa nawataka wote Gyokeres na Šeško. Tuwachukue wote wawili. Halafu tukachukue kale kabeki ka Valencia, Mosquera na Eze na ikiwezekana tumalizie na LW mmoja ingawa kwangu si lazima.

Kazi inakuja kwenye kuwaachia akina Zinchenko, Tomiyasu, Nelson, Sambi Lokonga na Vieira. Nwaneri naye nafikiri anahitaji timu ya kwenda kwa mkopo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…