Partey anlipaswa kukatwa 50k au zaidi kwenye mkataba wake, siyo kuongezewa. Ni mzuri sana ila muda mwingi huwa hayupo uwanjani.Policy yetu ya uhamisho (kuuza na kununua) ni hovyo. Wakati mwingine tunatumia akili ndogo kufanya maamuzi. Hebu niambie:
Partey alikuwa anataka nyongeza ya £50k ili aendelee kubaki, ambapo kwa mwaka angekula £600k zaidi. Lakini kwa akili ndogo za Arteta na Berta wakaaona ni heri kutoa £10m kumnunua Norgaard kuliko kumuongeza Partey 50k.
Ni akili za kijinga sana. Ukiwa na watu wapumbavu kama hawa kwenye kampuni, huwezi kufanikiwa
We jamaa watakuchukia humu sababu ya kusema ukweli, muulize jamaa anaitwa Labyrinth 84 washamtenga hadi kahamia newcastle.Endeleeni kujifariji.
Kipara anaanza kukaa sawa huko.
Hata tumsajili nani kama kocha atabaki Arteta basi ni sawa na kazi bure.
Kocha wa Psg Luis Enrique ukimpa Arsenal ya misimu hii mitatu iliyopita.Lazima akupe kombe hata moja la heshima.
Ila yule kazi bure hakuna kazi pale.
Labyrinth alihama kwa hasira zake mwenyewe ila mdogo mdogo kijanja janja anarudi kundini.We jamaa watakuchukia humu sababu ya kusema ukweli, muulize jamaa anaitwa Labyrinth 84 washamtenga hadi kahamia newcastle.
Sio kweli, soma hii The real reason why contract talks between Arsenal and Thomas Partey collapsed, Andrea Berta got it rightPartey anlipaswa kukatwa 50k au zaidi kwenye mkataba wake, siyo kuongezewa. Ni mzuri sana ila muda mwingi huwa hayupo uwanjani.
Raheem Sterling alisajiliwa kwa bei gani Arsenal? mi nachojua alikuja kwa mkopo na bado chelsea walilipa sehemu ya mshahara wakeUmeandika na kiingereza mwenyewe ili uonekane unaujua kweli kweli mpira aisee.
Kabsa mtu na akili zake timamu anaweza kuunga mkono Sterling kuletwa Arsenal na aone ni sajili nzuri kwa kuisaidia timu kwa muda.
Sterling kacheza Liverpool,kaenda city pale Chelsea yenyewe kaenda akiwa anaonekana kabsa mchezaji kaisha na bdo wajinga wakakaa wakajadiliana wakaona anafaa.Tatizo hilo.
Kwanza ili uone Arsenal kuna ujinga mwingi ni kufikiria kusajili makapi ya Chelsea.Hili tu linaonesha hii timu ina watu wenye akili za namna gani.
Wanasajili wale wachezaji ambao Chelsea imewachoka wao wanawabeba.Hii yote inaonesha Chelsea ni timu kubwa kuliko Arsenal.
Kwa Hiyo Berta baada tu ya kuja Arsenal tayari ameshakuwa na akili ndogo?Policy yetu ya uhamisho (kuuza na kununua) ni hovyo. Wakati mwingine tunatumia akili ndogo kufanya maamuzi. Hebu niambie:
Partey alikuwa anataka nyongeza ya £50k ili aendelee kubaki, ambapo kwa mwaka angekula £600k zaidi. Lakini kwa akili ndogo za Arteta na Berta wakaaona ni heri kutoa £10m kumnunua Norgaard kuliko kumuongeza Partey 50k.
Ni akili za kijinga sana. Ukiwa na watu wapumbavu kama hawa kwenye kampuni, huwezi kufanikiwa
Cheki takataka hii, mashabiki wa Arsenal humu mna safari ndefu sana kushare mawazo na nyumbu sampuli hiiKwa upande wangu sina shida na matajiri wa Arsenal kwasasa.
Wako tayari kuweka hela shida Arteta na Edu walijitengenezea kamradi kaupigaji.Wananunua matoy mengi hadi boss anaahituka hela yake inaliwa.
Arteta hapaswi kuwalaumu wale jamaa wamempambania sana ila yeye ndio anawaamimisha Kai anajua sana kuliko Lewandowski.
yah profile bro profile, Aucho X pacome. Passer and runner.Depth kwa Odegaard? Sipo sure.
Notice kwamba hawa wawili washacheza wote kwenye baadhi ya mechi na Vieira akawa deployed LCM, sikumbuki competitive match ambayo Vieira aliwahi kucheza RCM.
Uko sahihi kwamba Rice anaoffer vingi LCM kuliko current squad tuliyonayo ila hajafikia alichotoa Xhaka misimu miwili kabla hajaondoka.
Martinelli anaonekana wa hovyo kwakua hachezi na Xhaka.
Hapo sawa, mkuu nimekupata hapa umenikumbusha issue ya ceisado baada ya kuwagomea Liverpool. Chelwowo alitoboka vibaya sana. Na hiki ndicho Brentford wanachotufanyia kupitia issue ya cunha.Nasoma sehemu kwamba upfront fee haina shida kwenye add-ons ndiyo timu zinapopishana.
Hii inatokana na deal la moto ambalo united kafanya na Wolves, ni ngumu Brentford aridhike kupunjwa.
Kweli wewe firigisi kweli hata ujinga unatetea.Raheem Sterling alisajiliwa kwa bei gani Arsenal? mi nachojua alikuja kwa mkopo na bado chelsea walilipa sehemu ya mshahara wake
Sio lazima kila mtu ajue kuwa huna akili, vitu vingine unaficha umbumbumbu kwa kukaa kimya
Unajiona una akili mwenyewe.Cheki takataka hii, mashabiki wa Arsenal humu mna safari ndefu sana kushare mawazo na nyumbu sampuli hii
Fala nakublock, huna unachojua zaidi ya kubadili IDUnajiona una akili mwenyewe.
Em nipe mafanikio ya Arteta kwa hii miaka aliyokaa Arsenal.
Kwa akili ya yai bovu utasema kuwa nafasis ya pili ni mafanikio kwa timu/mashabiki ulivyo pampers mbovu.
Hiyo nafasi ya pili ni mafanikio ya Arteta na wachezaji wake maana wanapata bonuses na tajiri ananeemeka.Ww shabiki wa mpekenyera unafaidika nini.
Siku nyingine jifunze kujadili hoja sio mleta hoja.Akili ndogo ndio hujadili watu kama wewe vile.
Umeona kwenye huu mjadala nimemuattack mtu.
Usidhani sijui kuattack watu takupokea vile unavyokuja.
Sawa dada yangu.Fala nakublock, huna unachojua zaidi ya kubadili ID
Mi nakuunga mkono kwa 100%.Unajiona una akili mwenyewe.
Em nipe mafanikio ya Arteta kwa hii miaka aliyokaa Arsenal.
Kwa akili ya yai bovu utasema kuwa nafasis ya pili ni mafanikio kwa timu/mashabiki ulivyo pampers mbovu.
Hiyo nafasi ya pili ni mafanikio ya Arteta na wachezaji wake maana wanapata bonuses na tajiri ananeemeka.Ww shabiki wa mpekenyera unafaidika nini.
Siku nyingine jifunze kujadili hoja sio mleta hoja.Akili ndogo ndio hujadili watu kama wewe vile.
Umeona kwenye huu mjadala nimemuattack mtu.
Usidhani sijui kuattack watu takupokea vile unavyokuja.
Shida ndugu kwenye hizi nyuzi za timu kuna watu huwa wanajioan wao ndio wana haii yakusifia na kukosoa wengine hapa.Mi nakuunga mkono kwa 100%.
Yeah hamna kocha mle, tutabaki vile vile.Shida ndugu kwenye hizi nyuzi za timu kuna watu huwa wanajioan wao ndio wana haii yakusifia na kukosoa wengine hapa.
Yaan wao wanajiona ndio Arsenal haswaa kumbe mafi matupu.
Mimi nilikuwa namkubali sana Arteta na hata alipochaguliwa kuwa kocha nilifurahi.Ila kwa nilioyaona hii misimu mi3 tuliyokosa kombe ni uzembe wake sio wa Kroenke kama tulivyokuwa tunawalaumu.
Halafu kimtu badala kije kujadili hoja iliyoletwa kanakuja kujadili taarabu nauhakika hata miaka 26 hana huyo.
Arsenal chini ya Arteta labda iniprove wrong ila sina imani nae.Wale Kroenke family wakitaka heshima wampetpet yule Luis Enrique aje.
Ukiiangalia Psg inavyocheza unauona uwezo wa kocha pale halafu ndio unauona uwezo wa wachezaji.
Ukiiangalia Arsenal inavyocheza unaona uwezo wa wachezaji halafu uwezo wa kocha ndio unafata.