Kitwango Mikazo Miguno
JF-Expert Member
- Apr 9, 2023
- 242
- 418
Hapa hata mimi nakubali jamaa atuachie tu timu sasa maana seems like strategies zake zote zimefeliHamna kocha pale.
Usiweke matarajio makubwa kwa yule kocha utajiumiza.
Nyumbu wanaweza kuwahi kujipata kabla yetu.
Tottenham anapata kombe sisi tumetoa macho tu.
Hamna kocha pale.
Yeye mwenyewe hajui wapi kuna shida.Hapa hata mimi nakubali jamaa atuachie tu timu sasa maana seems like strategies zake zote zimefeli
Isitoshe anaona tuna kikosi chembamba tena finyu ila anahangaika na positions ambazo zina alternative ila kule mbele aaah hataki
Forwards pale wa uhakika ni Saka pekee. Shida bado ni mdogo pia anatakiwa backup ya watu ambao ni wazoefu haswa wa tournaments kubwa.Yeye mwenyewe hajui wapi kuna shida.
Anaamini hana beki wa kiungo.
Arteta angekuwa na akili bas angepeleka ile mbuzi Tross na Jesus italy hata kwa mkopo au angeuza kwa waarabu.Forwards pale wa uhakika ni Saka pekee. Shida bado ni mdogo pia anatakiwa backup ya watu ambao ni wazoefu haswa wa tournaments kubwa.
Martinelli shida yake kubwa anapenda kuangalia chini yaani runs zake zoote hua zinaishia kwenye box mara atoe boko.
Trossard nae anagames zake tena ni heri aingie sub ila sio aanze unaweza kasirika ukavunja na Tv yenyewe
Ethan, Kai na G. Jesus pale inabidi wakapumzike tu
Midfielders pale sina hofu nao sana labda Merino na Odegaard tu ila Partey, Rice wako fresh sana.
Defenders pale wa uhakika ni Saliba, Timber, Lewis labda kiasi Zini, Ben na Calafiori.
Golini sina hofu mwamba apewe mi 5 tena (Raya)
Matajiri nao wamekaa kimya kama wapumbavu yaani mpaka sahivi ametoka Jorginho, Marquinhos na Sterling tuArteta angekuwa na akili bas angepeleka ile mbuzi Tross na Jesus italy hata kwa mkopo au angeuza kwa waarabu.
Ule upande wa Martinel anahitajika mtu wakumchallenge ili akae sawa.Kuna kipindi kalikuwa kajinga kawekwa bench kakatuliza akili.
Arteta anaamini akinunua beki na kiungo basi kabeba kombe huku akijaribu mifumo aliyoota.
Against timu inayojitambua uweke Kai na Ode kiungo halafu Rice peke yake.Kama sio kutaka kipigo ni nini.Yule huwa namashaka anaibetia Arsenal au anagawio lake kwenye kampuni za kamari.
Kwa upande wangu sina shida na matajiri wa Arsenal kwasasa.Matajiri nao wamekaa kimya kama wapumbavu yaani mpaka sahivi ametoka Jorginho, Marquinhos na Sterling tu
Hamna kocha pale.
Usiweke matarajio makubwa kwa yule kocha utajiumiza.
Nyumbu wanaweza kuwahi kujipata kabla yetu.
Tottenham anapata kombe sisi tumetoa macho tu.
Kama kuna kosa nililofanya ni kushabikia arsenal
ukifikiri sana utakubaliana na mimi arsenal sio timu inayotaka ubingwa
Haikui katika kufanya maamuzi
Sterling usimhesabu.Matajiri nao wamekaa kimya kama wapumbavu yaani mpaka sahivi ametoka Jorginho, Marquinhos na Sterling tu
Kwa kepa ni kucheza heri kutokumuacha RamsdaleKepa kwangu is a perfect signing. Ameibeba Bournemouth pakubwa Kosa kubwa is to let Partey go. Tukimkosa Eze will beanother grave mistake.I still stand with Gyokeres
Kumchukua kepa ni sawa na kujiloga mwenyewe halafu pia Arsenal haina shida na GK bali kuanzia Forward kule na MidfieldersBasi tuongezeeni angalau pesa kidogo kwa Keppa mashine ya kudaka. Acheni ubahili basi
Hapa umenisikitisha Kai wa kumuhesabu kweli wewe unahitaji maombeziMtazamo wako ni tofauti na Arteta.
Arteta Cv yake ya kufundisha mpira ni kubwa anaona wapi kwenye kukosi kuna madhaifu. Kule mbele kuna Kai Harvetz Mashine ya kufunga magoli.
Sidhani kama wewe ulishawahi kufundisha mpira angalau ngazi ya Sunday school au madrasa.
Nakujibu huku nikiwa na ghadhabu kubwa sana sema nini fresh tu nadhani nyie ndo mliotumwa kuivuruga ArsenalKai ndio mchezaji pekee aliyefunga goal pekee na kuwapa Chelsea ubingwa wa UCL. Chelsea walikurupuka kumuuza inabidi tuwaongezee angalau pesa kidogo kwa kutuuzia mashine ya magoli.
Kocha amekariri waspain.Kwa kepa ni kucheza heri kutokumuacha Ramsdale
Kocha yule pimbi sana.Policy yetu ya uhamisho (kuuza na kununua) ni hovyo. Wakati mwingine tunatumia akili ndogo kufanya maamuzi. Hebu niambie:
Partey alikuwa anataka nyongeza ya £50k ili aendelee kubaki, ambapo kwa mwaka angekula £600k zaidi. Lakini kwa akili ndogo za Arteta na Berta wakaaona ni heri kutoa £10m kumnunua Norgaard kuliko kumuongeza Partey 50k.
Ni akili za kijinga sana. Ukiwa na watu wapumbavu kama hawa kwenye kampuni, huwezi kufanikiwa
Heri useme hivyo kuliko anaesema tumsajili kepa yaani kweli amenishangazaKocha amekariri waspain.