HENRY14
Wakati Zubimendi anafuatwa kwa mara ya kwanza ilikua ni kwavile profile yake ni kama ya Busquet.
Na Busquet profile yake ni kama ya Partey.
Notice kwamba tulianza kumfuata Zubimendi baada ya Partey kua majeruhi na hichi kipindi Jorginho alikuepo. Jaribio letu la kwanza kumreplace Partey lilikua kumsajili Rice.
Rice failed kwenye hiyo role. Ikabidi apelekwe upande wa kulia, ambako attempt yetu ya kumreplace Xhaka ilikua Vieira.
Hii scenario nzima ndiyo inafanya wengi tuseme Zubimendi kaja kwaajili ya Partey na Norgaard kaja kwaajili ya Jorginho. Partey alikua starter, Zubimendi atakua starter.
Jorginho alikua rotational, Norgaard atakua rotational.
Kuna wage bill itakua saved? Yes hii ni kweli kabisa. Ila mfano Zubimendi akachukua muda kuclik tutavumilia?