Arsenal (The Gunners) | Special Thread



Hawa jamaa wameshushwa daraja. Sheria za matumizi ya fedha si mchezo aisee.

Sasa ndio wakati wa kwenda kuwachukua wachezaji wao wazuri. Kina C115y washachomoka na Cherki kwa bei chee kumbe walikuwa wanajua siri.

Sasa tuwangojee na C115y nao washushwe daraja tukajisombee wachezaji.
 
Pale C115y labda Marmoush
 
Kwa nini tunamtaka Christian Norgaard wa Brentford? Sidhani kama anamkaribia Partey kwa uwezo na ana miaka 31, mwaka mmoja tu chini ya Partey? Si tumbembeleze tu Partey akubali plan yetu kwa mwaka moja au miwili?
 

Attachments

  • 1750863108227.png
    2.7 MB · Views: 8
Nogaard over partey? Jamaa ana miaka 31, mnalipa over 10m ? Mbona kama gambling?

Bora partey msingemkata salary, alafu apewe hiyo 2yrs ! Recently injury record yake sio mbaya sana !

Kwa damu ngumu ya kiafrika huyu mgana bado anaweza kudeliver kitu kwa miaka 2 ijayo , hawa wazungu sidhani, huyu mnaemchukua anaweza kufanya vizuri msimu mmoja tu akaporomoka, na sidhan kama mtampa mkataba chini ya 3yrs !

Majirani tupo tunafurahia kwa wenzetu pakiungua !
 
Kepa done deal.

DIsrespect is huge. Huyu ni mchezaji alinunuliwa 72M leo anauzwa 5M kama backup.

Bournemouth wamekosa hii pesa au ni jamaa kaforce kuja Arsenal?
 
Nionyeshe muafrika aliyecheza kwa mpaka umri wa Modric au Ronaldo au Zlatan.

Norgaard yupo willing kua backup na kumpisha academy yeyote bila kuanzisha fussing. Ndiyo sababu kafuatwa huku ana 31.

Hata hivyo kumuacha Partey naona ni option mbuzi tuliyochagua
 
Sijaelewa kabisa mantiki ya huu usajili.
 
Eh. Kweli aisee.

Nilikuwa naona kuliko kuchukua 31 y.o si bora kuendelea na Partey na nikajustify kumchukua Norgaard kwa kujiambia huenda ataweza kucheza muda mrefu zaidi (Partey akishapata mkataba mpya tu, mambo yake ya kuwa injured kila siku yatajirudia tena). Itampa muda Lewis-Skelly kujijenga LB huku akija kuichukua namba 6 rasmi baada ya Zubi baada ya miaka 4. Pia kama hatagharimu sana kwa transfer fee na mishahara, tutaweza kutumia pesa zaidi kidogo kwenye upande wa ushambuliaji.

Ngoja tuone lakini.
 
Logic hapa ni simple tu, mkataba wake una miaka miwili, paka 2027, lengo ni kuipa club pumzi ya kifedha ili kutafuta msaidizi wa Zubimendi baadae.
 
Arsenal get major Viktor Gyokeres transfer boost as Sporting 'find replacement'
Sporting Lisbon are loathed to lose Viktor Gyokeres but they have identified a replacement striker, which could finally open the door for the Swede to join Arsenal
Sporting Lisbon appear to be planning for life after Viktor Gyokeres as the Portuguese champions eye up Almeria's Luis Javier Suarez as their prime target to replace the Swede, who is on Arsenal's radar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…