Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona yamal kapitia anayopitia saka kila mechi
Akija uingereza atakuwa flop tu
niliwaambia ligi ya spain ni nyepesi
View attachment 3368631
Huyu visupageti hamna kitu humo ni sawa tu na saka vyombo vy habar vinawapa vichwa tu. Hapo mbona ndivyo wachezaji wanavyokaba kw wachezaji wote. Si unaona wamekaa mstari kuweka ukuta.
 
Champions
league trophy

Manchester City 1
Arsenal 0

Timu ya kisenge hii ya Arsenal for more than 70 years tumeshindwa kubeba Champions
league trophy and then Manchester City kabeba
Hivi huyu jamaa yuko wapi sikuhizi 😂😂😂
 
Nilikuwa najiuliza inakuwaje timu kali kama Arsenal haipo Club World Cup ila baada ya jana nimeona haya mashindano kwa sasa ni upotezaji wa muda tu. Sijui nitasemaje ikitokea na sisi tumealikwa ila kwa sasa sina hamu nayo kabisa.
 
Usiwe mjinga timu yeyote inayofanya vizuri ndani ya uwanja na kushinda Mataji haiwezi kupata hasara......Hasara ya timu inakuja pale unapomlipa mshahara mchezaji Average kama ODEGAARD £240k a week kwa miaka 5 ndani ya uwanja Mataji 0.
We haujui mpira Bora ukashabikie mieleka tu, we una kiungo wa kumweka Odergard bench pale kwenu?

Kwa mfano tukisema tuwaweke sokoni Nunez na Rice nani hapo atauzwa kwa hela nyingi?

Nunez si mnataka mumuuze kwa M40+, tena hiyo yenyewe watu wanasita
 
Nilikuwa najiuliza inakuwaje timu kali kama Arsenal haipo Club World Cup ila baada ya jana nimeona haya mashindano kwa sasa ni upotezaji wa muda tu. Sijui nitasemaje ikitokea na sisi tumealikwa ila kwa sasa sina hamu nayo kabisa.
Nimekumbuka kale ka stori ka sungura kashindwa kufikia mkungu wa ndizi anaanza kusema hata hivyo ndizi zenyewe mbichi sizitaki😂😂

Hii kisaikolojia tunaiita Sungura mentality.
 
Hiyo michuano miyeyusho tu mkuu.
 
Nilikuwa najiuliza inakuwaje timu kali kama Arsenal haipo Club World Cup ila baada ya jana nimeona haya mashindano kwa sasa ni upotezaji wa muda tu. Sijui nitasemaje ikitokea na sisi tumealikwa ila kwa sasa sina hamu nayo kabisa.
Tupe kigezo kimoja tu cha Arsenal kualikwa kwnye hayo mashindano ya kuwakilisha bara. Huna hata kikombe kimoja cha ulaya.
 
We haujui mpira Bora ukashabikie mieleka tu, we una kiungo wa kumweka Odergard bench pale kwenu?

Kwa mfano tukisema tuwaweke sokoni Nunez na Rice nani hapo atauzwa kwa hela nyingi?

Nunez si mnataka mumuuze kwa M40+, tena hiyo yenyewe watu wanasita
We kweli mbatata, yaani unatamba kabisa na Ordegard??! Seriously
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…