Umesoma kiarsenal, soma kimpira.I swear sijakuelewa
Kasoma kiarsenal ndio maana hajaelewa.Utaelewa vipi na una miaka 21 bila EPL huwezi kuelewa, leicester , liver, man city na chelsea fans wameelewa sidhani kama kuna false hopers yeyote ameelewa .
Embu ulizaneni nyinyi kwa nyinyi kwanza kama mnaelewa alichoandika bard….. 😂😂
Angalau Sesko anaweza kugeuka na mpira na kupiga vyenga na kujitengenezea space. Pia Sesko anapenda kusaka goli. Kai anarudisha tu mipira nyuma hovyo. Ila namtaka Sesko ile tuendelee kuwachapa maadui kwenye set pieces huku jamaa bado ana hatari kwenye open play.Gyokeres kufunga kwake sio shida, sesko ni kai mwingine
Kumbe mna lijua hili kuwa Kai ni liability ehh?, hayo masuala ya chenga sijui space achaneni nayo.Angalau Sesko anaweza kugeuka na mpira na kupiga vyenga na kujitengenezea space. Pia Sesko anapenda kusaka goli. Kai anarudisha tu mipira nyuma hovyo. Ila namtaka Sesko ile tuendelee kuwachapa maadui kwenye set pieces huku jamaa bado ana hatari kwenye open play.
😀😀😀😀 Labyrinth huyo kama kawa 😀😀😀. Hata wewe utakuwa umemuelewa Castr huenda anamaanisha pesa zilizotumiwa kwa Darwin ukiziangalia na mchango wake kwenye timu ndani ya huo muda, inaonekana Liverpool walipigwa.Utaelewa vipi na una miaka 21 bila EPL huwezi kuelewa, leicester , liver, man city na chelsea fans wameelewa sidhani kama kuna false hopers yeyote ameelewa .
Embu ulizaneni nyinyi kwa nyinyi kwanza kama mnaelewa alichoandika bard….. 😂😂
Sesko pia akicheza kama striker labda anaweza kufikia hayo. Kumbuka Sesko msimu jana alikuwa anacheza nyuma ya Openda na ndiye anarudi chini zaidi na kumtengenezea nafasi Openda.Kumbe mna lijua hili kuwa Kai ni liability ehh?, hayo masuala ya chenga sijui space achaneni nayo.
We serious need a striker who can score goals. Imagine having a man like gyokeres 30+ goals sio issue.
Sesko hizo sijui set pieces ni mbwembwe, wata piga hata kina rice.
Narudia kusema hii ni kamari itakayo sumbua baadae,huyo openda si ali maliza na goli 9?Sesko pia akicheza kama striker labda anaweza kufikia hayo. Kumbuka Sesko msimu jana alikuwa anacheza nyuma ya Openda na ndiye anarudi chini zaidi na kumtengenezea nafasi Openda.
Mbona mnatoa mifano ya wachezaji wa timu nyingune Arsenal hamna mchezaji wa £100ml nyie kwenye squad yenu amesha walipa nini mpaka sasa ?? Mmeshashinda nae mataji mangapi ??Labyrinth huyo kama kawa. Hata wewe utakuwa umemuelewa Castr huenda anamaanisha pesa zilizotumiwa kwa Darwin ukiziangalia na mchango wake kwenye timu ndani ya huo muda, inaonekana Liverpool walipigwa.
Je, ukitumia timu yako ya Newcastle mijusi milia, mna Isak wa 80m, wao Livakuku wana Darwin wa 100m. Newcastle ina Carabao, Liverpool ina Premier League.
Utasema Darwin aliyechangia kidogo mafanikio ya Liverpool ni muhimu kuliko Isak aliyechangia sana mafanikio ya Newcastle?
Anacheza nafasi sawa na Darwin na Isak?Mbona mnatoa mifano ya wachezaji wa timu nyingune Arsenal hamna mchezaji wa £100ml nyie kwenye squad yenu amesha walipa nini mpaka sasa ?? Mmeshashinda nae mataji mangapi ??
Nadhani anamaanisha kuwa cha muhimu ni kuwa Darwin ana kombe. Haijalishi kuwa kina Salah, MacAllister, Domi na kina Grave ndiyo wameibeba timu huku Darwin akionekana abiria tu kwa mashabiki wao wengi, cha muhimu ni jamaa ana kombe.
Wewe si umezungumzia mafanikio ya Nunez na Isak na mimi nakuuliza mpaka sasa mchezaji wako wa record signing RICE £105ml amewalipa nini mpaka sasaAnacheza nafasi sawa na Darwin na Isak?
Kai Havertz miilipa €75ml kwa Chelsea hata kombe la Carabao ameshawapa mpaka sasa amewapa mafanikio gani Arsenal,Squad yenu ina wachezaji Magarasa kibao tu kama mifano rahisi.Anacheza nafasi sawa na Darwin na Isak?
Mbona ni wazi kabisa kuwa nimewalinganisha kwa kazi waliyosajiliwa kufanya kwenye timu zao, yaani strikers waliyoletwa kufunga magoli. Rice alinunuliwa kama defensive midfielder. Je uwepo wa Rice kwenye upande wa defensive record ya Arsenal unaona umekuwa wa mafanikio ama hasara kwetu? Na tumemtumia sana tu kama AM zaidi ya DM, kama vile tu tulivyomtumia Havertz zaidi kama striker japo tulimleta kama AM.Wewe si umezungumzia mafanikio ya Nunez na Isak na mimi nakuuliza mpaka sasa mchezaji wako wa record signing RICE £105ml amewalipa nini mpaka sasa
Yes. Hata sisi mashabiki wa Arsenal baadhi yetu tunaona Havertz siyo mzuri kwetu. Ila, linganisha mchango wa magoli wa Darwin kwa Liverpool msimu huu na wa Havertz kwa Arsenal. Darwin 100m (tunajua pia hii 100m haitafika kwa sababu ya vipengele ambavyo Darwin hajavitimiza), Kai 65m.Kai Havertz miilipa €75ml kwa Chelsea hata kombe la Carabao ameshawapa mpaka sasa amewapa mafanikio gani Arsenal,Squad yenu ina wachezaji Magarasa kibao tu kama mifano rahisi.
Amelipa kw kufunga magoli mawili ya free kick.Wewe si umezungumzia mafanikio ya Nunez na Isak na mimi nakuuliza mpaka sasa mchezaji wako wa record signing RICE £105ml amewalipa nini mpaka sasa
Kibiashara nani hapo kaitia hasara timu yake?Wewe si umezungumzia mafanikio ya Nunez na Isak na mimi nakuuliza mpaka sasa mchezaji wako wa record signing RICE £105ml amewalipa nini mpaka sasa