Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Siyo huyo tu.

Ghafla juzi unaambiwa Arsenal ipo tayari kususia mazungumzo na Sesko.

Liver kulipa ile 150M imefanya timu zingine zione zinaweza kuexploit zaidi.

Nyinyi ndiyo kazi mnayo
Hapa tulisema tuanze kuongea na Gyokeres ili kina Sesko walegeze kamba. Ila sasa Chelsea nao wamemjia Gyokeres hivyo hali itazidi kuwa ngumu.
 
Stats za Pepe ni za juu kuliko signings za mtu kama Grealish ambaye alinunuliwa kwa 100M

Sina uhakika na usajili wenu wa 100M, Nunez, kama kamzidi Pepe kitakwimu
Bora uliposema huna uhakika.
Nakuibia siri Nunez tayari anataji la ligi huko. sasa stats za mchezaji mmoja mmoja wa City ni za kawaida ukikompare na Saka ila SAKA ana nini na akina Glealish na Doku wana nini?
 
Bora uliposema huna uhakika.
Nakuibia siri Nunez tayari anataji la ligi huko. sasa stats za mchezaji mmoja mmoja wa City ni za kawaida ukikompare na Saka ila SAKA ana nini na akina Glealish na Doku wana nini?
I swear sijakuelewa
 
Liverkuku si unawajua wao wahuni tu. Wao wameshachukua ubingwa na sasa wanataka kuhakikisha wanaushikilia kwa mbinu mbovu za kuharibu soko.
Liverpool tumefanya BIG SIGNING moja tu tayari STATEMENT imeshawafikia mmeona tupo serious sana. Acheni kulia lia fanyeni signing ambazo zitawapeleka Next Level in a second, Signing za mafungu mafungu mnazofanya za akina Kepa haziwezi kuwapa uwezo wa kushindana na sisi......... Kenge nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…