Tushamalizana na hili dili kitambo sana. Labda kuna mambo madogo yamebaki ila sidhani kama kuna hatari ya kumkosa. Tunasubiri tu mwaka huu wa fedha wa Spain uishe 30 June ili Sociedad waweke mshiko wa mauzo haya mwaka ujao wa fedha, yaani July.Yaani aache kwenda Madrid aende Arsenal, hata kama ni ww unaweza kufanya huo upuuzi?
Unauliza maswali magumu kwa mbumbumbu wa JF, huwezi kupata majibuKama kuchukua kombe ni mafanikio kwanini Spurs wamemfukuza Ange?
Hawa watoto wa kiwigi wana nux, ndio mana hata Tuchel england ameamua awaweke wachezaji wa Arsenal bench, Saka na mchele wanasugulishwa tu banchi.Chelsea - Neto 🇵🇹
Man Utd - Bruno 🇵🇹
Man City - B. Silva 🇵🇹
Liverpool - Jota 🇵🇹
Arsenal - Nobody
Even on the international stage they go trophy-less 🗑 🚮 🗑 🚮 🗑 🚮
Nadhani huyu tunaye tayari. July tutamuona Emirates. Isipotokea nitashangaa kidogo.Martin Zubimendi to Arsenal was almost done but a call from Real Madrid has now changed EVERYTHING.
The situation is now open !!!!!
Mara chache sana Madrid wanabisha hodi na ukagoma mifano ipo michache kama kina Stevie G, Giggs, Scholes na F. Totti
Aser8 vs Madrid hapo mchezaji anachagua upinde vs MakombeMartin Zubimendi to Arsenal was almost done but a call from Real Madrid has now changed EVERYTHING.
The situation is now open !!!!!
Mara chache sana Madrid wanabisha hodi na ukagoma mifano ipo michache kama kina Stevie G, Giggs, Scholes na F. Totti
Mnapokonywa tonge mdomoni huko wewe jipe matumaini hewa.Nadhani huyu tunaye tayari. July tutamuona Emirates. Isipotokea nitashangaa kidogo.
Gundu sanaHawa watoto wa kiwigi wana nux, ndio mana hata Tuchel england ameamua awaweke wachezaji wa Arsenal bench, Saka na mchele wanasugulishwa tu banchi.
Ndiyo maana nikasema nitashangaa kidogo siyo sana. Chelsea walishawahi kutunyang'anya Mudryk dakika za mwisho kabisa na hapo hata hatukujua kuwa nao wanamfukuzia.Mnapokonywa tonge mdomoni huko wewe jipe matumaini hewa.
Kwa sasa hatuna presha. Bado nafikiri hili dili lilishakaa sawa muda kidogo sasa ila kuna mambo ya kifedha ya kuweka vitabu sawa yanahitajika. Zubi anatutaka mwenyewe, Sociedad wanataka aje kwetu, mambo ni mazuri ila kuna maneno maneno ya kichokozi tu ya wanahabari wanaotafuta attention ndiyo yanaxunguka mitandaoni.Zubimendi deal to Arsenal looks highly likely, because Real Sociedad are not willing to sell to RM
Zumaridi anatua Arse8 ameamua kuaga mashindano.Ndiyo maana nikasema nitashangaa kidogo siyo sana. Chelsea walishawahi kutunyang'anya Mudryk dakika za mwisho kabisa na hapo hata hatukujua kuwa nao wanamfukuzia.
Huyu Kepa anatokea Chelsea ila ni kutoka Bournemouth siyo Chelsea moja kwa moja hivyo tuwe na matumaini naye kidogo kuliko kama ilivyokuwa kwa Gallas, Willian, David Luiz na Sterling.
Kai na Cech.Huyu Kepa anatokea Chelsea ila ni kutoka Bournemouth siyo Chelsea moja kwa moja hivyo tuwe na matumaini naye kidogo kuliko kama ilivyokuwa kwa Gallas, Willian, David Luiz na Sterling.
Kai na Cech.