Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa sajili anazoendelea kufanya CITY, Msimu ujao Arse8 anatoka mikono mitupu tena. Ni vema mkafikiria kuhamia ligi ya Championship embu kaeni chini mlitazame hilo.
Watahamia ligi ya kina mama, kina Ødegaard wataenda kucheza na dada zao, walau huko wana uhakika wa kubeba ndoo na kupata Ballon d'Or.
Ila huku kiumeni kila msimu wataishia kuwa bridesmaid.
 
Tetea Kiwigi anajihesabia mpaka sasa ana makombe mawili ya Epl kisa misimu miwili iliyopita amemaliza ligi kwa points nyingi kuliko points za mabingwa wa msimu huu.
Arsenyau mna siri sana, kumbe mmebeba mikombe miwili ya Epl halafu hata hamsemi.

# Tetea Kiwigi Mitano Tena.
 
Ila jamaa Flano kashata sana wewe.
 
Ila Tetea Kiwigi banaa, kabla ya kucheza nusu fainali na Psg aliwaaminisha mashabiki wa Arsenyau kua msimu huu hajaona timu yoyote bora kushinda Arsenyo, akawataka mashabiki wake waanze kabisa kusherehekea ubingwa, yeye atakua ndie kocha wa kwanza wa Asenyo kuvunja rekodi ya kuwaletea Uefa, kombe ambalo tokea timu imeanzishwa mwaka 1886 hawajawahi kulibeba.
 

Nyie mazwazwa msijikaushe UEFA wamerank teams 2025, timu yenu bora imepitwa mpk na nyumbu, kweli nyie viazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…