Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sisi tumemebeba makombe yote makubwa na madogo, ma uefa, ma europa manini makonference nyie ni mashilingi tuuu hahahaha hamuyiogopi Chelsea????
 
Ninyi ndio matakataka ya hali ya juu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­
 
Wanaume wanahakikisha kila mwali anaekatiza analiwa, ninyi rusheni tu vijambio tuu kusajili wachezaji kwa hela za mafungu mauefa, maeuropa makonference mutasikiaga tuu
 
Munakuwaga kama hamuna akili,🀣🀣🀣🀣🀣 munaanza musimu kwa matumaini makubwa halafu munafika mahali pumzi inakata, trofilesi timu, kila season nyie munaprint tuu 🀣🀣🀣🀣🀣
 
London is Blue sisi ndio wale tunaokula kila kitu adi upepo, ninyi watoto yatima nendeni mukafuge kuku pale emirates hiki kikundi cha wauza mazageti pale London siyo timu ya mpira hiii 🀣🀣🀣🀣
 
Makati huo huo umefunga 16 kwa setpc na kufungwa 12... nawaona watu wa asernal mnalalamika kuonewa wakati huo mnacheza huuni kufunga hayo magoli.. kama yangechunguzwa walao robot yangekuwa disqualified.
 
Sasa recently Chelsea umemzidi nini wewe?? Recent ni muda gani?? Kama ni mwaka huu huna ulichomzidi, mwaka uliopita hauna ulichomzidi mwaka juzi huna ulichomzidi, miaka 5 nyuma Ana vingi sana kakuzidi, miaka 10 nyuma Ana vingi sana kakuzidi , miaka 20 nyuma pia bado Ana vingi kakuzidi . Arsenal umemzidi nan sasa πŸ˜‚. Community shield na carabao bora nini ?
 
Adi Spurs anabeba europa ninyi mupo mupo tuuu😭😭😭😭
Spurs kabeba Europa kabla ya arsenal, within 10 years spurs ni bora zaidi ya arsenal, miaka 10 iliyopita kashiriki final uefa, kabeba europa na kashiriki uefa mara nyingi zaidi ya assnal.
Leicester huyu hapa kashuka daraja atapanda atabeba epl haijalishi ni mwaka gan hata 2050 ila itakua kabla ya arsenal πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unawapaga fact hawa viazi, kha! Hawakupendi.
 
Msimu huu wamezidiwa mafanikio hata na Crystal Palace.
 
Unawapaga fact hawa viazi, kha! Hawakupendi.
Achana naye huyo. Mapenzi na Arsenal yamemzidi kiasi kwamba hata Chelsea walioshinda Conference league, kitu ambacho sisi hata kushiriki hatukuweza kwa sababu ya ubora wetu, anaona ni mafanikio kuliko Arsenal. Yeye anaona Newcastle kubeba Carabao mwaka huu ni mafanikio kuliko Arsenal tangu 2020. Pia mpe tu muda Labyrinth 84 atarudi tu Arsenal akishaona jinsi tunavyojichotea vikombe hivi punde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…