Arsenal (The Gunners) | Special Thread

We zimetimia kweli???
 
Chelsea ina makombe yote ya EUFA. Ninyi Arsenal mna nini
 

Attachments

  • IMG-20250529-WA0001.jpg
    463.8 KB · Views: 18
Martinelli FC mupooooo , nyang'au kabisa ,niliwaambia Chelsea timu iliyojaa Makinda wachanga inainua kwapa mwaka huu kabla yenu ,ninyi pimbi.
Sasa subiri muone msimu ujao tunavyo wawashia moto
Kubeba makombe ni tabia na ni Jadi ya champions Chelsea
 
Chelsea ina makombe yote ya EUFA. Ninyi Arsenal mna nini
Hongera mkuu. Ndiyo hivyo na sisi tunapambana. Naelewa ukiniambia UCL na kwa mbali Europa hata sisi tumejaribu ila bahati bado haijawa kwetu. Ila hiyo Conference aisee wala usipoteze muda kuniambia eti mmebeba. Hilo sisi hatuwezi kulibeba kwa sababu hata kushiriki kwake hatujawahi na hatuwezi kisa tu huwa tunamaliza nafasi za juu sana kwenye ligi.
 
Netflix! mkija kugundua arteta ni tapeli itakuwa too late! Fukuza hiyo kenge maji !

Wachezaji wafuatao wafukuzwe na wafungwe mahakamani ;
Haverts
Odegaard
Martineli


Wafuatao wachapwe viboko 10, wafukuzwe ;
Rice
Calafiori
Raya
Partey

Wafuatao wanyimwe msosi two days, wapewe onyo kali ;
Saliba
Saka
Timber
Gabriel M

Wafuatao wanyang'anywe passport, hawastahili kuonekana England;
Skelly
Nwaneri
White
Kiwior
Zinny
 
Hii inaitwa jeuri ya kushinda conference league πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Huku mkiendelea kufurahia mafanikio ya wanawake baada ya nyie ng'ombe wa kiume kuangukia pua kama kawaida.
Napenda kuwakumbusha kuwa wanaume wa London jana walishinda kombe la Ulaya, hii ni moja ya picha ambayo mkiiona itawauma πŸ˜‚

 
Too many parties in England

Liverpool:EPL Party πŸ…
Chelsea: UECL party πŸ…
Tottenham: UEL party πŸ…
Arsenal: Thomas party 😭
London pale kuna timu tano za EPL.

Tatu zimebeba kombe mwaka huu.
Moja bado watoto, tumewasamehe πŸ˜‚
Moja wamebeba majungu mwaka huu πŸ˜‚

Palace πŸ†
Spurs πŸ†
London is blue πŸ†


Fulham πŸ˜‚
Arsenyembe πŸ‘
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…