Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Onana naye kaambiwa atafute timu.

Na yeye kamind kwamba kukosa kwenda CL inabidi apunguziwe mshahara kwa 25%
 
Timu sita zitaenda UCL. Yale mambo ya kunyang'anyana nafasi yalishafutwa.
 
Kuna kitu hakijasemwa kilichowasaidia Manyumbu na Spurs kufika fainali, nacho ni kwamba UCL format mpya ilivyo, hakuna timu za UCL zinazoruhusiwa kushuka Europa, kama ilivyokuwa kwamba timu za 3 kwenye group zao zinashuka Europa. UCL sasa usipotoboa unarudi kwenu.

Maana yake ni kuwa hawakukutana na timu zozote zilizotoka UCL. Safari ya Manyumbu na Tottenham ilikuwa nyepesi, asikudanganye mtu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…