Arsenal (The Gunners) | Special Thread

"Our floor is their ceiling" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
By now ni sahihi kusema Arsenal women ina msimu bora kuliko timu zote za ligi ya Uingereza kwa ligi zote za wanaume na wanawake
 
Wazee wa kutukana mamba kabla hamjavuka mto Mkohoti na Labyrinth 84 leo naona mmoja wenu au wote wawili mkiingia Europa League.

Angalau Herzogg ana uhakika kidogo wa kuingia UCL.

Ila pia yote kwa yote, natambua kuwa mnapaswa kupongezwa maana nyie mmepanda kutoka msimu uliopita huku akina Herzogg na sisi tumeshuka msimu huu. Sisi kwa viwango vyetu, huu msimu umekuwa mbovu kwetu lakini nyie kwa viwango vyenu, hasa hawa mijusi milia, huu ni msimu wa mafanikio katika historia ya timu yenu. Hongereni.

Tukutane tena msimu ujao muendelee kuchangia points sita sita katika kampeni yetu ya kuchukua ubingwa na makombe tele.
 
By now ni sahihi kusema Arsenal women ina msimu bora kuliko timu zote za ligi ya Uingereza kwa ligi zote za wanaume na wanawake
Akili kubwa sana hii. Umetumia mantiki ile ile wanayotumia Manyumbu, kenge, kuku na mijusi wanayotumia kupima mafanikio, lakini hapa hawatakuelewa.
 
Matokeo ninayotamani ni villa ashinde halafu hao waliobaki wadrop point au wapigwe kabisa.

Milio itakayosikika hapo siyo poa
 
Matokeo ninayotamani ni villa ashinde halafu hao waliobaki wadrop point au wapigwe kabisa.

Milio itakayosikika hapo siyo poa
Acha roho mbaya mkuu, mbona wakati mnahangaika kutafuta team mtakayocheza nayo final kati ya Inter na barca tulihangaika wote kuwatafutia team nzuriii bila kujali kuwa mpo robo final πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nyumbu hii game hana faida nayo. Atapelekewa moto hadi basi.

Kwamba Hakika Ruben amewaambia wachezaji yeye bado ni kocha wa nyumbu na amemwambia Garnacho atafute timu.

Kuna website ya kipuuzi inaitwa transferfeed, baada ya hii ripoti tu tayari wakamlink Garnacho na Arsenal. Nikasoma walichoandika, kwamba "Arsenal might be interested" hiki walichoandika ndiyo mfano wa ripoti za siku hizi yaani mtu akihisi tu mchezaji fulani anaondoka anamlink na Arsenal that's it.

Hii ilisababisha Tajiri Miluzi apotezwe kuwanunua wakina Nkunku na Madueke
 
Usitegemee msimamo kama utabadilika, ni hivyo hivyo kama ulivyo.
 
Na ukiwauliza hayo makombe yao wameyaona mangapi? Kuna wengine hata moja hawajaliona.
 
Tutakutana usiku kuonyeshana risiti
 
Kwa hapa theoretically Arsenal hawezi kushushwa hapo.

So battle ipo kwa hawa huku. Hawa ili usiku uharibike inabidi wapate chochote isipokua ushindi halafu Villa ashinde.

Nafasi ya tano tayari Spurs kashaibook. Atayejichanganya kukaa hapo kazi anayo.

Hapa sasa ndiyo kenge ataenda kukaza tako conference league ili aende europa cup kwa mlango wa uwani. Akifanikiwa timu za kwenda europa itakua kenge na palace kwakua palace kashinda FA.

Halafu wengine wataenda Conference league.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…