Asikwambie mtu maumivu ya Runner-up hua ni makali kuliko hata maumivu ya kushuka daraja, yaani hii hali tunayopitia mashabiki wa Utd kwa kukosa Europa najiuliza hapa hivi hawa Arsenyau wanawezaje kuvumilia maumivu makali kiasi hiki kwa misimu mitatu mfululizo?
Nilichojifunza kama binadamu kuna wakati inatakiwa tuwe na huruma japo kidogo kwa mashabiki wa Arsenyo. View attachment 3343721
Leo wanawake wetu wako UCL final na wanawake wa Barcelona, mabingwa watetezi.
Sijui kama Van Domselaar atakuwa amerudi golini maana yeye ni nafuu kuliko Zinsberger.
Leo wanawake wetu wako UCL final na wanawake wa Barcelona, mabingwa watetezi.
Sijui kama Van Domselaar atakuwa amerudi golini maana yeye ni nafuu kuliko Zinsberger.
Hata kufika fainali yenyewe wanawake wetu wamefika kwa ugumu sana. Barcelona wao waliteleza tu mpaka fainali. Hawa Barcelona waliwacharaza haswa wanawake wa Chelsea.