Leo matapeli wa soka wamekutana.Mbuzi mmoja anakuambia hua anashinda makombe msimu wa pili.
Mbuzi mwingine anakwambia hajawahi kupoteza fainali.
Battle of retards
Jmosi 19hrs.Arsenal women na Barca women fainali inachezwa tarehe ngapi wadau?
Huyo muhuni Liverpool tulimshtukia mapema hakuna kocha paleUnaikuta timu nafasi ya 8 unaipeleka nafasi ya 16 with potentially kuishia 17th halafu unafungwa na spurs.
Ila hii ni baraka. Msimu ujao nyumbu atakua hana mambo mengi lazima achukue ligi
Mbuzi mmoja amekuwa na msimu wa mafanikio kuliko arsenal na washabiki wake wote ,Mbuzi mmoja anakuambia hua anashinda makombe msimu wa pili.
Mbuzi mwingine anakwambia hajawahi kupoteza fainali.
Battle of retards
Arse8 akicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani na kanga moja imelowana huku wakisema chukua chukua yote yako.Wazee wa next season hivi kati ya Ange Postecoglou mwenye misimu miwili Spurs na Tetea Kiwigi mwenye miaka 7 unaenda wa 8 hapo Asno ni yupi anaonekana kocha mwenye mafanikio zaidi? View attachment 3341716View attachment 3341721