Una ushahidi gani kua sina confidence na mafanikio ya timu yangu?hamjashinda makombe misimu 3.
Now tuassume mmeshinda makombe misimu 3. Na mmeshinda makombe ya muhimu.
Kwanini hauna confidence na timu yako na mafanikio yako mpaka inabidi uje kutafuta relevance hapa? Kwanini lazima utafute engagement kuquote watu day in day out?
Ungekua na hiyo confidence ungekua uzi wenu mkijadili mafanikio ya timu.Una ushahidi gani kua sina confidence na mafanikio ya timu yangu?
Tunawaquote sio kwa kupenda bali kusahihisha pale tunapoona mnaudanganya umma waziwazi.
View attachment 3340097
Kumbe nyundo ni Ass-anal?Una ushahidi gani kua sina confidence na mafanikio ya timu yangu?
Tunawaquote sio kwa kupenda bali kusahihisha pale tunapoona mnaudanganya umma waziwazi.
View attachment 3340097
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ikifika mwisho wa msimu wanakuaga mbogo kwelikweli hawataki hata kukotiwa.Kumbe nyundo ni Ass-anal?
Haha jamaa yangu unawapiga spana mpk wanacheua povu.
Ifike atu washabiki wa hii timu wajue tunaingia kwenye uzi wao kuja kusoma vichekesho vyao ndio maana hatuwaachi, yaani huu uzi uwekwe jukwaa la jokes.
Watakwambia unatafuta faraja kwao, wakati wenyewe ndio wanahitaji faraja. Utafukuzwa uende kwnye timu yako na matusi juu.😂😂😂 wamepaniki hawa viazi hatarii.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ikifika mwisho wa msimu wanakuaga mbogo kwelikweli hawataki hata kukotiwa. View attachment 3340355
Kama hata kuelewa hapa baasi matatizo ya asnal ni makubwa yanaanza kwenye akili kwanza.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa huyo mjinga mmoja unaenda msimu wa 3 anamaliza kwa GD- za kotosha lakini misimu yote 3 anabeba makombe, hauoni kua ni mjinga anaejitambua kuliko yule msindikizaji misimu yote anamaliza na GD+ za kutosha, clean sheet za kutosha halafu mwisho wa msimu anatoka mikono mitupu?
Hivi malengo haswa ya Arsenyau kucheza mpira ni nini? MAANA HATUWAELEWI.
Isijekua tunawalaumu bure kutokubeba makombe kumbe wenzetu nyie malengo yenu ni GD+
View attachment 3339982
Huoni kama ww ndio unatakiwa ukapimwe akili mkuu? Newcatle kabeba kombe, chelsea man u wapo final huko. Muda wowote kombe linanukia, haya tuambie ww una nini msimu huu, kumfunga Madrid au?Newcastle united fans?
Kwangu hapana they don't even exist in my world.
Leo matapeli wa soka wamekutana.Mbuzi mmoja anakuambia hua anashinda makombe msimu wa pili.
Mbuzi mwingine anakwambia hajawahi kupoteza fainali.
Battle of retards