yeh man V.persie kucheza gooners inaonekana ilikuwa ni ndoto yake ya utotoni
Tupeni updates wakuu, huku jamaa wameshachukua umeme!
Katavi unaishi wapi mkuu? Haya malalamiko si mageni...
Kuhusu updates mantakhof
Ushabiki wa kitoto bwana? Kwa hiyo Arsenal kwako ni RVP. He's just a paid player and employee wa timu. He has come, and surely he'll go, but Arsenal will stand still...
Leo naona umuhimu wa Gervinho..kipindi cha pili hawa jamaa wetu ..
naona mkuu umedandia train kwa mbele bila kunielewa ...
anyways tutafika tu ...