Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,341
- 4,022
Punguza hasira kaka , hasira za nini wakati wewe ni false hopers wazee wa final tucheze na nan?ππWe naye ni mjinga mjinga.
PSG haina ST Ramos ni beki? Walivyoona hafanyi poa January wametumia sh ngapi? Hua unanitia uvivu kukujibu kwakua hujui vitu halafu unataka ujenge hoja.
Hasira unazo wewe. Unataka utumie watu kama sehemu ya kukupunguzia stress.Punguza hasira kaka , hasira za nini wakati wewe ni false hopers wazee wa final tucheze na nan?ππ
Ramos ameanza mechi ipi ?? Ramos sio first 11 huyo ramos kacheza dk ya 92.
PSG wamewafunga bila ST huu ndo ukweli . Unamuongelea ramos ambae katika dk 180 kacheza dk 7
Hii kauli ya Tetea imenifanya nikawaza sana fans wa ganaz hapa jukwaani! Maana na wao ni watetea timu hata kwa mambo yasiyo na ulazima kama kocha wao tu.Tetea kiwigi anasema pamoja na kutolewa kwenye michuano ila bado Yeye ana timu Bora
Kweli aliyewaroga ameshakufa na vifaa vyakeπ
Waonee huruma. Washaanza kutokwa povu.Punguza hasira kaka , hasira za nini wakati wewe ni false hopers wazee wa final tucheze na nan?ππ
Ramos ameanza mechi ipi ?? Ramos sio first 11 huyo ramos kacheza dk ya 92.
PSG wamewafunga bila ST huu ndo ukweli . Unamuongelea ramos ambae katika dk 180 kacheza dk 7
Watasema wanajipanga next season πHii kauli ya Tetea imenifanya nikawaza sana fans wa ganaz hapa jukwaani! Maana na wao ni watetea timu hata kwa mambo yasiyo na ulazima kama kocha wao tu.
Sijui Tetea anapimaje ubora wa timu ambao sisi hatuuoni. Defense kila mechi inachoma halafu wanakwambia wana defense nzuri ulaya nzima, kwenye kiundo, zaidi ya Partey, Rice ni Henderson version 2 na yule Ode sioni la maana analoofa kwa timu zaidi ya kuweka sawa nywele na arm band yake kila mara. Ukirudi forward line wanamtegemea yule Saka amabye anatumia mguu mmoja tu na mechi ya juzi kashindwa kabisa kuonyesha umahiri wake.
Anyway, mnapenda kukutana na Inter Milan au Barca fainali?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wasisahau pia kutafuta na Kocha kueleweka, Tetea kiwigi sio kocha yule bali ni mhamasishaji tu.Watasema wanajipanga next season [emoji38]
Watafute kwanza wachezaji wa kueleweka
Daah ila we jamaa Arsenyo wamekukosea nini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenalia wanatamani Michuano ya Uefa ingekuwa na mshindi wa tatu, wakikumbuka ikiwa hivyo itawabidi wacheze na Barcelona wanabaki wanasonya tu. View attachment 3329013
Dah mtakuja kuwamaliza kwa shinikizo la damu naona ni mwendo wa kufukua makabuli tuπππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa ndugu yangu Castr kwa ile michezo ya kina Lacazette, Ordegaard, Pepe na Bellerin kwenye vyumba vya kubadilishia nguo mtaachaje kulaanika? View attachment 3328021
πππππππππView attachment 3329083
Chuma hiyoo Imeganda kwa Hewa.
πππ
Na huu ndio uchambuzi wa kitanzania, na wachambuzi wengi kwa redio zetu wana uwezo mdogo wa kufikiri kama huyu, kwamba tatizo ni saikoloji, yani Arsenal tuna timu bora kwa miaka mitatu nyuma kuliko hata Man city iliyochukua treble, typical Tanzanians.Timerlane nakubaliana na wewe. Kinachoigharimu Arsenal kwa sasa ni hofu ya kisakolojia ya kushinda makombe, ubora wa Arsenal ndani ya hii misimu 3 ni mkubwa mno. Mshambuliaji wa kati pekee hatoshi kubadili psychological fear.
Confidence huja hata kwa kubeba vikombe vidogo vidogo kama FA na Carabao ila ukikaa muda mrefu bila kikombe hata uwe na ubora mkubwa kiufundi wachezaji wanakuwa hawana ile mentality ya kushinda makombe.
Mkorea ulisema risiti zako tuzitunze tukutane mwakani mwezi May na Mwezi May ndio huu Mkuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Haina shida hizo risiti wewe zitunze, ila tukutane mwakani may
Miaka mingi tulikua tuna-struggle mwisho ila msimu huu tuna-struggle mwanzoni.
Siongei sana