John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,039
Na hizi mvua mnaanza kuota mapema hv πFull time PSG 2- Arsenal 3
Goli mbilii mtapataa Jirani wa London ilaaa ss nao psg wataongeza mbilii ,ss hapo itakuwajeeeπππMwalimu mpaka sasa sina nongwa nae, ila tukubali tu tunahitaji world class palyers, namuangalia saka hapa, kisha namkumbuka yamal jana.. ni vitu viwili tofauti, huyu martineli ndio kabisaaa...
Game inashindwa na mbinu za mwalimu na ubora wa wachezaji. Huyu odegaard kwenye kupika ni mzembe sana, kuna moja kaingia ndani vizuri badala ya kushoot akaamua apasie pembeni π
Kuna siku nilisema hawa kina saka na martineli ni average players, mtu akaja kukataa mixer takwimu, ila huo ndio ukweli.
Ngoja tuone second half itakuwaje, kama wakichangamka pale goli 2 zinapatikana.
Ni masikitiko mkuu asenyoo ni kikundi cha wahuni wala ngada wa uingereza.alafu kumbe notinham ana uefa
Yupo BAHATI BUKUKU Mbona yupo tu anaimba kwa nni wasimchukueAnachokosa leo arsenal ni bahati tu
Mbona aUmeona chances walizopoteza? Zile iwe Barca au Inter pale hawakuachi salama
ππππ 45 c nyingii maliziaa tu ulale ukijuaa matokeo Yako ,usiachee kiporooo
Ila scars Jana ulinichekesha Sana. Baada ya goli la Raphina ukaamua kwenda kulala. Unaamka saa Tatu asubuhi kuchek notification unashangaa inter 4-3ππ
Nalala kupoza maumivu ndugu yangu, bila hivyo mtanipoteza mkose umbea.
πππππ Tupoo hapaa liveee usiondokee,Bado naamini arsenal atapindua meza
vijana wanafeli sana hadi notinham anamshindaNi masikitiko mkuu asenyoo ni kikundi cha wahuni wala ngada wa uingereza.
Bila shaka ww ni shabiki wa cheltako, acha kumfananisha matinell na vitu vya kijingaHauwezi kubeba Uefa ukitegemea winga matinelli anayezidiwa na madueke.
vijana wanafeli sana hadi notinham anamshindaNi masikitiko mkuu asenyoo ni kikundi cha wahuni wala ngada wa uingereza.
Matinelli anakimbia kama kabeba jiwe mgongoni ndo wa kufananisha na madueke!Bila shaka ww ni shabiki wa cheltako, acha kumfananisha matinell na vitu vya kijinga
Ngoja tusubiri comebackvijana wanafeli sana hadi notinham anamshinda