Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 44,117 Reaction score 104,638 May 7, 2025 #164,701 Leo lazima mkazwe
Lax JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 10,882 Reaction score 15,423 May 7, 2025 #164,702 hapa leo ni kushangilia yeyote atakayeshinda tu
Flano JF-Expert Member Joined Aug 7, 2019 Posts 5,844 Reaction score 16,298 May 7, 2025 #164,703 Jukwaa limepoa kama vile daktari ameshathibitisha kifo cha mgonjwa, kuna wale waliokuja na uji kama vile nawaona jinsi walivyo duwaa.
Jukwaa limepoa kama vile daktari ameshathibitisha kifo cha mgonjwa, kuna wale waliokuja na uji kama vile nawaona jinsi walivyo duwaa.
macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 28,319 Reaction score 57,149 May 7, 2025 #164,704 Intelligent businessman said: Inter vs arsenal fainali Click to expand... Mimi siyo shabiki wa Arsenal, lakini nataka washinde kwa sababu nadhani wanastahili. Timu yao ni nzuri na Arteta kafanya kazi nzuri sana. Tatizo ni lao kubwa ni kutokuwa na striker na pia timu yao haina wigo mkubwa wa wachezaji.
Intelligent businessman said: Inter vs arsenal fainali Click to expand... Mimi siyo shabiki wa Arsenal, lakini nataka washinde kwa sababu nadhani wanastahili. Timu yao ni nzuri na Arteta kafanya kazi nzuri sana. Tatizo ni lao kubwa ni kutokuwa na striker na pia timu yao haina wigo mkubwa wa wachezaji.
mkorea JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 8,592 Reaction score 19,228 May 7, 2025 #164,705 Flano weka na maneno ya akiba
verifaidi yuza JF-Expert Member Joined Sep 13, 2018 Posts 3,121 Reaction score 6,184 May 7, 2025 #164,706 Leo kuna jambo moja litatokea kati ya haya mawili Either Arsenal ashinde au PSG akandwe pale pale kwake #COYG πͺπΎ
Leo kuna jambo moja litatokea kati ya haya mawili Either Arsenal ashinde au PSG akandwe pale pale kwake #COYG πͺπΎ
Azim Sokoine JF-Expert Member Joined Aug 20, 2014 Posts 1,485 Reaction score 2,752 May 7, 2025 #164,707 Tumeshatoka,tumeenda tu kukamilisha ratiba Paris.
Chick_tz JF-Expert Member Joined Mar 2, 2025 Posts 2,365 Reaction score 3,066 May 7, 2025 #164,708 Kwenye first leg mlikimbia uzi wenu
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,374 Reaction score 96,667 May 7, 2025 #164,709 Azim Sokoine said: Tumeshatoka,tumeenda tu kukamilisha ratiba Paris. Click to expand... Nili tabiri kuwa inter vs arsenal fainali, inter tayari subiri arsenal amalizie kazi.
Azim Sokoine said: Tumeshatoka,tumeenda tu kukamilisha ratiba Paris. Click to expand... Nili tabiri kuwa inter vs arsenal fainali, inter tayari subiri arsenal amalizie kazi.
Flano JF-Expert Member Joined Aug 7, 2019 Posts 5,844 Reaction score 16,298 May 7, 2025 #164,710 mkorea said: Flano weka na maneno ya akiba Click to expand... Maneno yapi hayo ya akiba unayotanitaka niyaweke? Au unakusudia yale maneno yako ya akiba ya zile picha zilizoanza kuvuja?
mkorea said: Flano weka na maneno ya akiba Click to expand... Maneno yapi hayo ya akiba unayotanitaka niyaweke? Au unakusudia yale maneno yako ya akiba ya zile picha zilizoanza kuvuja?
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,374 Reaction score 96,667 May 7, 2025 #164,711 Flano said: Maneno yapi hayo ya akiba unayotanitaka niyaweke? Au unakusudia yale maneno yako ya akiba ya zile picha zilizoanza kuvuja? View attachment 3327141 Click to expand... arsenal ana shinda leo
Flano said: Maneno yapi hayo ya akiba unayotanitaka niyaweke? Au unakusudia yale maneno yako ya akiba ya zile picha zilizoanza kuvuja? View attachment 3327141 Click to expand... arsenal ana shinda leo
Flano JF-Expert Member Joined Aug 7, 2019 Posts 5,844 Reaction score 16,298 May 7, 2025 #164,712 Intelligent businessman said: arsenal ana shinda leo Click to expand... Labda kama unamaanisha anashinda njaa. Mkuu itakua wewe ni mgeni wa Arsenalia kwenye mechi ambazo zina pressure kubwa.
Intelligent businessman said: arsenal ana shinda leo Click to expand... Labda kama unamaanisha anashinda njaa. Mkuu itakua wewe ni mgeni wa Arsenalia kwenye mechi ambazo zina pressure kubwa.
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,374 Reaction score 96,667 May 7, 2025 #164,713 Flano said: Labda kama unamaanisha anashinda njaa. Mkuu itakua wewe ni mgeni wa Arsenalia kwenye mechi ambazo zina pressure kubwa. Click to expand... tusubiri game uanze, taarab nyingi hazi fai
Flano said: Labda kama unamaanisha anashinda njaa. Mkuu itakua wewe ni mgeni wa Arsenalia kwenye mechi ambazo zina pressure kubwa. Click to expand... tusubiri game uanze, taarab nyingi hazi fai
mkorea JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 8,592 Reaction score 19,228 May 7, 2025 #164,714 Flano said: Maneno yapi hayo ya akiba unayotanitaka niyaweke? Au unakusudia yale maneno yako ya akiba ya zile picha zilizoanza kuvuja? View attachment 3327141 Click to expand... Kama tulipata ushindi bernabeu na uwanja ulifungwa kwa juu, mm nakushauri uzimalize maneno yote Arsenal tunajambo letu leo
Flano said: Maneno yapi hayo ya akiba unayotanitaka niyaweke? Au unakusudia yale maneno yako ya akiba ya zile picha zilizoanza kuvuja? View attachment 3327141 Click to expand... Kama tulipata ushindi bernabeu na uwanja ulifungwa kwa juu, mm nakushauri uzimalize maneno yote Arsenal tunajambo letu leo
fuentte JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 3,221 Reaction score 9,273 May 7, 2025 #164,715 Leo niko upande wenu gunners, kazeni kidogo tukutane kwenye super cup.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,254 May 7, 2025 #164,716 Jitahidini mshinde mtoe gundu la kuwa wasindikizaji
Camilo_Cienfuegos JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 11,378 Reaction score 15,385 May 7, 2025 #164,717 Lineup tayari
hazard Don JF-Expert Member Joined Oct 9, 2017 Posts 1,229 Reaction score 1,035 May 7, 2025 #164,718 PSG here we Go.
kengele maziwa JF-Expert Member Joined Jun 1, 2015 Posts 435 Reaction score 650 May 7, 2025 #164,719 PSG 3 - ARS 2 Aggregate 4-2 Arsenal out
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,299 May 7, 2025 #164,720 hydroxo said: Mpira ni mchezo wa wazi. Mapungufu ya kushindwa kuicheza kona yametugharimu. Na ukitoa hayo magoli yao mawili ya kona unafikiri kuna kitu gani walichonizidi? Mda wote nawashambiulia. Lamine anapindua anavyotaka. Second leg watu watastaajabu sana. Click to expand... Na wamestaajabu kweli, πππππ
hydroxo said: Mpira ni mchezo wa wazi. Mapungufu ya kushindwa kuicheza kona yametugharimu. Na ukitoa hayo magoli yao mawili ya kona unafikiri kuna kitu gani walichonizidi? Mda wote nawashambiulia. Lamine anapindua anavyotaka. Second leg watu watastaajabu sana. Click to expand... Na wamestaajabu kweli, πππππ