Shida vijana wa hii timu bado wanaota ile Ass anal ya 2004.Hilo jina la fungua la kukosa limekaa utamu sana
Mkishinda Europa mnaingia UCL kwa kuchukua nafasi ya yule aliyemaliza katika nafasi ya 5 kwenye ligi? Ikiwa hivyo pambano la ligi sasa limekuwa kuwania top 4, nafasi 3 zikigombewa na timu 6. Naona kama ligi inaisha kiushindani japo Liver washakuwa mabingwa...Msimu wenu unatamatika jumatano ijayo pindi mtakapotolewa rasmi na PSG.
Upande wa pili ni aidha mshabikie Nyumbu ( washuka daraja) au Spurs (bitter rivals) kwenye kombe la Europa.
Kwa scenario kama hizi ndio maana matukio ya mashabiki wa asrenal kujinyonga yamekuwa kawaida sana.
We jamaa 😀😀😀Unaambiwa achievement ya hiki kitimu baada ya phase zote hizo ni kumfunga city goli 5.
Hatuna muda na makombe yenu sisi, tutajibumbia yetu ya udongo.
Unaambiwa achievement ya hiki kitimu baada ya phase zote hizo ni kumfunga city goli 5.
Hatuna muda na makombe yenu sisi, tutajibumbia yetu ya udongo.
Psg anakufa palepale kwake, j5 sio mbaliArsenyo msimu huu wamebeba makombe mawili.
- Kombe la kwanza ni kumfunga City goli 5 (hapa misukule wanakwambia hii ni zaidi ya kubeba Epl)
- Kombe lao la pili ni kumfunga Madrid nje ndani ( Hapa misukule inadai kua hii ni zaidi ya kubeba Uefa)
Hakika ndugu zetu Arsenyau msimu huu ulikua ni zaidi ya mafanikio kwenu, Masingeli hapa anasema msimu huu Tetea na Arsenyau yake wamekua overachieved, maana malengo yao Epl ilikua ni top 4 sasa kushika nafasi ya 2 imekua kama bonus, na upande wa Uefa kufika Quarter-finals imekua ni surprise kubwa sana kwao achilia mbali kumpiga nje ndani Madrid.
Kwa mafanikio hayo chawa za Masingeli kina mkorea na arsenal2004 wanadai kwa sasa Tetea ndio kocha bora wa dunia, anaebisha apimwe akili. View attachment 3323528
Nasisitiza aamshwe huyu mtu, dalili ya kubwa naina.Psg anakufa palepale kwake, j5 sio mbali
Kwa timu za uingereza mwenye huo uwezo ni man u tu, lakini takataka zingine akiwemo arsenal hakuna wakumtoa psg, hasa kwa hii second leg tena akiwa nyumbani.Psg anakufa palepale kwake, j5 sio mbali