Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwamba mbona umekua na makasiriko ghafla sana?
Siyo kwa ubaya tupeni Psg second leg tuwasadie, maana mnaonekana tayari mmeshajikatia tamaa mapema kabisa.
Kusema mambo yenu hayanihusu ni kukasirika?
 
Mwanetu bado upo na mimi tu πŸ˜…
Arsenal is dying inakua ngumu kuwapa focus yangu. Subirini kwanza
Let it.
Ila punguza jazbah haya majukwa yapo kuenjoy naona upo serious sana ndio maana nyongo inamwagika.
 
Let it.
Ila punguza jazbah haya majukwa yapo kuenjoy naona upo serious sana ndio maana nyongo inamwagika.
Nafanya kazi ambayo nikiwa na hasira naweza kumess up maisha ya mtu, taasisi na worst case scenario mpaka uhai.

Ndiyo sababu nilikuambia character observation yako ipo wrong
 
Nafanya kazi ambayo nikiwa na hasira naweza kumess up maisha ya mtu, taasisi na worst case scenario mpaka uhai.

Ndiyo sababu nilikuambia character observation yako ipo wrong
Hongera kwa kutokuwa jobless
 
Nilitaka kusema usinilitee habari za kikombe kidogo hicho, sisi tuko levels zingine, nikakumbuka kuwa ligi bado haijaisha. Ngoja kwanza nijihakikishie top 5.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Henry14 nakumbuka msimu ulioisha kuna maneno uliyaongea yalikua ni ya busara sana.
Arsenyau ni kama tu dicso toto, ikifika saa 4 dj anazima mziki watoto wanaenda kulala, ndio maana waswahili wana kale ka msemo kao "Ngoma ya watoto haikeshi"
Ligi zikifika kipindi hiki Arsenyau wanaenda kulala halafu wanaume wanaenda kubeba makombe.
 
Mzee wa kufukua makaburi.
πŸ˜ƒ
 
Dah mnajua kuwakela arsenyonyo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hizi zinakuaga habari za kukera kwa Arsenyau, ila kwa kua kombe limeshawasili A.mashariki wacha tujulishane tu, huenda kuna mtu humu akatamani kwenda kupiga nalo picha kama alivyofanya muheshimiwa raisi.
 
Msimu wenu unatamatika jumatano ijayo pindi mtakapotolewa rasmi na PSG.
Upande wa pili ni aidha mshabikie Nyumbu ( washuka daraja) au Spurs (bitter rivals) kwenye kombe la Europa.
Kwa scenario kama hizi ndio maana matukio ya mashabiki wa asrenal kujinyonga yamekuwa kawaida sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…