Miaka yote ambayo Wenger amekaa Arsenal hajawahi kuangalia passport za wachezaji, yeye hutazama talents.Nimeipenda comment ya mtangazaji wa ss7 "ARSENAL IS A COMBINATION OF ELEVEN DIFFERENT NATIONALITIES"
Draw itasumbua, itabidi kwenda kushinda mechi ya mwisho na Olympiakos mambo ambayo hatupendi yatokee.vipi wadau wa washkia bunduki?
hii game si tukitoa draw si tunakuwa tumepita?
Sasa tunahitaji goli la pili. Arsenal walitumia muda mwingi wakti wa summer kufanyia mazoezi namna ya kuizunguka back four na sasa wanafanya kazi hiyo kwa ufanisi mkubwa.
Song ni mashine wakuu!!