Ushindi muhimu ugenini jana na hakika pointi 15 katika 15 sio mchezo, tuko kwenye fomu, vijana wameanza kuelewana uwanjani baada ya usajili wa haraka haraka.
Naona majirani pale darajani mambo mpaka sasa sio mambo, 0-1 kwa Liverpool wacha tuangalie nusu ya pili itaishiaje.
huyo dogo mario gotze mikosi!yaani hayo mawazo yako tukiongeza na kiungo mkabaji ambaye kazi yake inakuwa kuharibu mipango ya timu pinzani!!!arsenal hatukamatiki labda katika mataa ya surrender na kutuovertake huwezi!tuwe nyumbani au ugenini wapinzani watakuwa wanachezea tu!