Kunae jamaa kule site, Leo asubuhi nimemuambia nyie arsenyeto hamchukui UEFA, kaanza kuongea mbovu, na nikamuambia hata mkifika final hamchukui, kapovukwa.Exactly π― π π π π
Kesho anaweza asifike site huyo mwanetu π π π πKunae jamaa kule site, Leo asubuhi nimemuambia nyie arsenyeto hamchukui UEFA, kaanza kuongea mbovu, na nikamuambia hata mkifika final hamchukui, kapovukwa.
Ngoja kesho nkamuulize kulikoni? ππππ
Siyo mbaya. Tutakaa sawa tu. Hofu ya kushoot nayo imetucost. Odegaard aende tu akafanyiwe surgery yake.Hahaha
Hakuna cha GG wala over 1.5
Anyways, we gave our best. Tulicreate chances ila forwards zetu miyeyusho.
Martinelli auzwe, Trossard alisema anataka kuondoka aachwe aende.
Difference maker kwenye hii mechi wamekua ni forwards.
WeMove
Kabisa. Sisi tukae kimya tujipange na twende all out kule maana hatuna cha kupoteza. Kama ni kufungwa, tushafungwa huku kwetu.Sasa tusianze mikwara ya remontada kama Madrid.
Tuangalie tulipokosea na tujifunze kucapitalize mistakes za mpinzani.
Maclassmate haoView attachment 3320184
Wanetu ππππ
aah wapii, azima afike, ntamcheka kesho hatari, ππππKesho anaweza asifike site huyo mwanetu π π π π
Sio powa hii sevu
ππππSiyo mbaya. Tutakaa sawa tu. Hofu ya kushoot nayo imetucost. Odegaard aende tu akafanyiwe surgery yake.
πππππππaah wapii, azima afike, ntamcheka kesho hatari, ππππ