Arsenal (The Gunners) | Special Thread

hata arsenal akishinda leo kuna jambo ata kuwa amejifunza usikariri mambo na kuweka mapenzi sana mbele Psg hii sio sawa na Madrid hii Hawa watu ni wanajua mpira wanaojua mpira wanajua kwanini walitaka psg akutane na arsenal sio Madrid sababu ingekuwa kazi yake kule kama alichofanyawa aston vila tu watu walitaka pure football from two elite coaches

kumbukeni huyu muhuni enriqe alibeba haya makombe na Barcelona kule
 
Kapteni anaiambia timu tufanye gegenpress.

Hata hivyo maamuzi mengi ya refa ya 50/50 yapo dhidi yetu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani kwa rafu zote mnazocheza na penalty ya wazi walionyimwa Psg, Arsenyau bado wanalalamika kua refa yupo dhidi yao[emoji16][emoji16][emoji16]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…