Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Game ya leo naiwazia bila partey yule mpuuzi aliwezaje kufanya upuuzi ule na anajua game ijayo ataikosa.. kioe alichokifanya declan rice ni hali ya upambanaji wa hali ya juu, tunahitaji watu wa namna ile, yule hata kuwa captain anafaa... Sio fundi kiviile, ila spirit ya upambanaji ipo juu sana, wachezaji wa diego simeone wale
 
Unaiwazia unacheza wewe
 
Itakua safi sana hii yellow ya Partey kua a blessing in disguise
 
For the sake of EPL diginity we need to eliminate PSG by any means possible.

Naona kuna media za ufaransa zimeanza kuandika kuwa PSG kwa ubora walionao sasa wanaweza kuitawala hata ligi ya England.

Sasa yapaswa tuwathibitishie kuwa hao walevi wa Paris walimuangukia liverpool tu na mshamba mwenzie Aston villa na Epl bado ina timu bora kuliko hata hizo alizozifunga.

I go with 3-1 victory to gunners.

COYG
 
Hujui mpira. Unaendesha na hisia. Kwa kifupi una zero football IQ.
 
Kuna mtu mmoja kaja hapa anatuambia Vitinha atatuua.

But last game Vitinha alikuepo pia.

Last game na hii Luis kabadilisha watu 3 hivi, Kvara, Dembele na Luiz. Wengine wote last match walikuepo.

Dembele ni mzuri miguu yote, atadribble na kushoot kwa mguu wowote ana pace, skills, flair, vision ila Dembele siyo finisher mzuri. Ni chance creator zaidi kuliko scorer.

It explains kwanini wao hutengeneza chances nyingi ila kuscore hua low kiasi.

Kvara is good, wazia Mitoma ila minus uoga and more ego. Barcola mzuri kwenye wing pia.

So on paper their forward iko lit na inatakiwa kuscore left, right and centre. Donnaruma ni hatari, Saka anamjua huyu mtu.

Tunakutana na elite team on paper ambayo inaweza rely kwenye individual brilliance na ikawalipa.

Let the best tactics win
 
Strength:
pass 5 wapo golini, playing style yao ya aina moja
Weaknesses:
wanakatika sana, wapo uchi sana, wanaacha sana mashimo

Arsenal
Strength:
wapo compact sana, pass 4 wapo golini, wana playing style nyingi, dark arts playing style, wapo home
Weaknesses: None

.


 
Hapo kwenye weaknesses: none πŸ˜€πŸ˜€. Si hatuna striker wa kueleweka na hatuna Partey leo? πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…