Hata matokeo yaweje but gunners tunatisha,norwich si wakubezwa hata kidogo.
hongereni kwa ushindi..
Kwani matokeo ni vipi?
Its all over Gunners ushindi kama kawa ... ... .... . 1 - 2 ... .... wachezaji wetu wa mbele hasa Gervinho anatakiwa kuwa clinical ... .. ..
norwich wazuri utakumbuka walitoa draw .. tena man utd.
walipotenza old trafford
Man United 2-Norwich city 0
Sahihi kabisa nadhani wali-draw na liverpool.walipotenza old trafford
Man United 2-Norwich city 0
Noja tuone sasa Man city na Newcastle!
wacha1 hatimaye nimemaliza kibalua 3 points safi ingawa magoli yetu yalikuwa penati...