Timu itakuwa na balance, Lewis Skelly atakuwa anakuja kati ku reinforce midfieldBinafsi mimi sina amani kabisa kumkosa Thomas Partey,akiwepo dimbani team inabalance vizuri hata Declan Rice anakua huru kupanda kuongezea mashambulizi.Sijui nini kitatokea.
lewis atakuja kati kati ku reinforce Midfield 😂😂😂 mna dhani psg ni everton uongo mtacheza tu mtakavyoTimu itakuwa na balance, Lewis Skelly atakuwa anakuja kati ku reinforce midfield
Jamaa anatumia logic ya semi final ya UEFA 😂😂Huyu jamaa aamshwe kabla hajaleta madhara, ....... maana hii ni ya kubwa kbs.
Hawa jamaa huwa wanafurahisha hao😂😂, utasikia sijui nani anaingia katikati, sijui mbio za saka na matinel😂😂. Wanaishia kulaumu refa na kujisifia wamepiga hatua next season ndio season yao😂. Hawa ndio walipaswa waitwe nyumbu mana akili hazijatofautiana na nyumbu.lewis atakuja kati kati ku reinforce Midfield 😂😂😂 mna dhani psg ni everton uongo mtacheza tu mtakavyo
watu wanao jua mpira wanajua psg ni next level in quality vs arsenal kwa wakati huu na main cheat code yao ni vitinha yani mkimzuia huyu mmeipasua psg kati kati na kuondoka na ushindi mkishindwa mnapasuliwa nyinyi vibaya
week zilizo pita ilikuwa alison vs psg na akaibuka man of the match sasa hivi itakuwa zamu ya raya ukiona team man of the match ni kipa tafakari sana kwa umakini
Kombo gani duniani Beki za Kati zote zinatumia Miguu ya kushoto?Wazee mnazisikia hizi habari za Saliba to Madrid next season na ukizingatia hatuna replacement yake? combo ya Jakub and Gabriel itakubali?
Nilihisi hivyo nilivyoona Arsenal tumeextend mwaka mmoja badala ya kurenew mkataba kwa miaka 5 zaidi.Wazee mnazisikia hizi habari za Saliba to Madrid next season na ukizingatia hatuna replacement yake? combo ya Jakub and Gabriel itakubali?
Hata wale wenzao waspaniola waliongea maneno mbofu mbofu kama haya haya. Sisi tunawacheki tu .PSG wamesema wanachojua wao ni timu bora na wanaweza kutengeneza hadi chances 30 za kuscore
😂😂 yani wanatumia scenario ya madrid kucheza na psg yani mimi tu nilijua madrid hana mpira wakufunga arsenal na nikaombea apite ili akutane na psg maana wote hawa wana quality sio classHawa jamaa huwa wanafurahisha hao😂😂, utasikia sijui nani anaingia katikati, sijui mbio za saka na matinel😂😂. Wanaishia kulaumu refa na kujisifia wamepiga hatua next season ndio season yao😂. Hawa ndio walipaswa waitwe nyumbu mana akili hazijatofautiana na nyumbu.
Wangwana wa kuweka mkeka tumeshachungulia PSG anashinda. Weka mkeka wako safiii. Ila kama ni muoga weka Double chance, droo au PSG ashinde.😂😂 yani wanatumia scenario ya madrid kucheza na psg yani mimi tu nilijua madrid hana mpira wakufunga arsenal na nikaombea apite ili akutane na psg maana wote hawa wana quality sio class
ATTACKING
Madrid hawakuweza kuwa lethal kwa arsenal maana arsenal wana strongest backline kwahio hatari yao ilikuwa ni ngumu ku penetrate kwa kutokea kati kwa mbappe mpaka hapo usha mpunguza attacking dynamic ya team mpinzani wakawa wanatumia wing maana kwa kutokea kati mbappe hawez toboa...sasa hawa jamaa wanakutana na timu iko lethal in both area in the front Three yani wote ni pure wings wenye chemistry ya ku interchange kama false 9 wote hao lazima wata create chance nyingi hofu tu hawapo vizur kwenye finishing na hio inaweza kuwa downfall yao lakin kama leo wote wame amka vizur andaa game ya leo GG Lazima
DEFENSE
Yani ukuta wa madrid ulivyo mbovu arsenal wakapata advantage ya 2 direct free kick ambayo ilibadilisha tempo ya mchezo kuwa upande wao na kuongeza bao la mwishon tena kwa ubovu huo huo defense line ya madrid wameruhus magoli kipind cha pili dakika za jioni sasa hapa wanaenda kukutana na hawa jamaa pembeni MENDEZ * PACHO * MARQUIS* HAKIMI brooo hawa wana kaba wanashambulia balaa Liverpool game ya kwanza kwa psg kapata off target 2 on target 1 the mighty best team in the world against hao underdogs
MIDFIELDER
Hapa sitazungumza sana yani RUIZ*VITINAH*NEVEZ
Kwa ODE*RICE*MERINO Ahaha tungoje muda ufike wote tuburudike
HUU MPIRA TU NO HARD FEELINGS LAKIN ARSENAL WAJITATHMINI HIO CONFIDENCE YAO LEO
Wanajamba jamba tu sahizi huko walipo mpk uzi wameutelekeza.Siku ya mechi ndio mavi yamewajaa mbwambwambwa shenzi mlishajiona mpo fainali eti kumbe bado mlima hamjaumaliza mkimaliza Leo mnasubiriwa ufaransa🤣🤣🤣🤣🤣