Wameamua kutafuta burudani upande wa pili wameona arteta tapeli ππDah badala ushangilie ushindi wa Liverpool unahangaika na mipira ya kina mama?
Nyie liverpool msimu huu nawafananisha na chelsea ya wanawake.Dah badala ushangilie ushindi wa Liverpool unahangaika na mipira ya kina mama?
Kweli haya maisha hayana mwenyewe, kwa mara ya kwanza tangu nianze kuangalia mpira wiki iliyopita nilimuona Guadiola akishangilia timu yake kupata ushindi unaompa nafasi ya nne....π€£π€£Wana washaanza kuona genge la arteta miyeyusho, sasahivi wamehamia kwa kina dada.
Punde hili jukwaa litabadilishwa jina kuwa Arsenal Women special thread
Wanatia huruma sana sasa hivi hawaongelei tena mpira wamehamia kwenye rede.Wameamua kutafuta burudani upande wa pili wameona arteta tapeli ππ
Soka la wadada huwa lina entertainment fulani unique sana, sasa wana wameona yanini kuhangaika na boko haramu arteta.
Oya unazingua mzee, eti boko haramuπWameamua kutafuta burudani upande wa pili wameona arteta tapeli ππ
Soka la wadada huwa lina entertainment fulani unique sana, sasa wana wameona yanini kuhangaika na boko haramu arteta.
Kabla ya hiki kichapo, Lyon alikuwa amecheza mechi 30 bila kupoteza kwenye mashindano yote.Wanawake wametoboa πͺπͺView attachment 3317838
Ndg usidanganyike kama Barcelona anamuonea mbambe wa england Chelsea ambaye anamfunga arsenal kila kukicha na team zote za england , arsenal wanawake atafungwa sio chini ya kamba 5 nafikiri ndio fainali laini Kwa Barcelona kuwahi kutokea na ataendelea kuchukua kombe hili Kwa mwaka wa tatu mfululizo na kuna dalili akafikisha miaka sita mpaka Saba hakuna team ya kuizuia Barcelona hata mwakani.Hii ni Kwa wale tunaofuatilia soka la wanawake tunaongea team iliyofungwa mechi mbili au tatu tu misimu mitatu ya mashindano yote hii ndio Barcelona women .Kabla ya hiki kichapo, Lyon alikuwa amecheza mechi 30 bila kupoteza kwenye mashindano yote.
Mara ya mwisho alipoteza kwenye fainali ya msimu uliopita dhidi ya barcelona, msimu huu tu penyewe ameshinda mechi zote za WCL kabla ya hili dholuba halijamkuta.
Kama ilivyo kwa wanaume kumtoa real madrid tafsiri yake yatupaswq tuuchukue ubingwa nje na hapo haitakuwa na mantiki, kwa wanawake napo kumtoa lyon ni ticket ya ubingwa.
Naona huu mwaka utakuwa ni wa kihistoria na wa kipekee sana kwenye club yetu.
Ile comeback ya UEFA ilikua ya kipuuzi kabisa.Kweli haya maisha hayana mwenyewe, kwa mara ya kwanza tangu nianze kuangalia mpira wiki iliyopita nilimuona Guadiola akishangilia timu yake kupata ushindi unaompa nafasi ya nne....π€£π€£
BTW, dada zenu msimu huu wamenyanyaswa sana machelsea wamepigwa mechi nne kati ya tano moja walifanyiwa comeback ya kibabe
Majamaa wameona wanaenda kutoka kapa wameanza kujirundika kwenye kichaka cha kina dada ππππππMkikosa UEFA sijui mtatuambia nini nyinyi
Hawana cha kujadiliMajamaa wameona wanaenda kutoka kapa wameanza kujirundika kwenye kichaka cha kina dada ππππππ
Siku za nyuma ilikua nadra sana kukuta updates za kina dada, msimu unaenda kuisha kapa ghafla saivi humu kila mtu analeta updates za arsenal women ππWanatia huruma sana sasa hivi hawaongelei tena mpira wamehamia kwenye rede.
Haupo serious bruvNdg usidanganyike kama Barcelona anamuonea mbambe wa england Chelsea ambaye anamfunga arsenal kila kukicha na team zote za england , arsenal wanawake atafungwa sio chini ya kamba 5 nafikiri ndio fainali laini Kwa Barcelona kuwahi kutokea na ataendelea kuchukua kombe hili Kwa mwaka wa tatu mfululizo na kuna dalili akafikisha miaka sita mpaka Saba hakuna team ya kuizuia Barcelona hata mwakani.Hii ni Kwa wale tunaofuatilia soka la wanawake tunaongea team iliyofungwa mechi mbili au tatu tu misimu mitatu ya mashindano yote hii ndio Barcelona women .
Kombe letu EPL bichi sana badoNyie liverpool msimu huu nawafananisha na chelsea ya wanawake.
Chelsea anasumbua sana kwenye WSL hajapoteza game hata moja mpka sasa, halafu kaja kutolewa kwa aibu kwenye WCL kachezea aggregate ya goli 8-2 kwa barca... sasa subiri uone jeshi letu la akina Mariona Caldentey,Williamson na Alessia Russo litakavyo mnyoosha huyo barcelona fainali.
Liverpool mmetamba sana kwenye EPL na CL hatua ya awali, halafu mmekuja kutolewa kwenye CL kwa aibu na PSG timu iliyoshika nafasi ya 15 tena pale pale kwenu, sasa karibu juma nne mjifunze nyie na kocha wenu jinsi ya kumfunga PSGπ π .
Mmeanza kushangilia akina Mama sasa!Kweli adui wa mwanamke ni mwanamke.
Wanawake wa jf roho zinawauma sisi kuongelea mpira wa wanawake wenzao mpaka wanakuja kulalamika humu.
Arsenal yaenda shimoniOya unazingua mzee, eti boko haramuπ
Soka la wanawake kwanza ninacholipendea ni uhakika wa magoli, yaan huku hakunaga kupaki basi hata kama timu zilizokutana zina tofauti kubwa sana kiubora... na ndio maana unaona timu kama barcelona kushinda 7-0, 9-1, 6-2, ni kawaida sana.
Mechi ya leo tumeingia uwanjani huku Lyon akiwa tayari ana faida ya ushindi wa 2-1, lakini kachezea goli 4 pale pale kwake kwa sababu alikuwa anashambulia licha ya kuwa na matokeo, ingekuwa ni mechi inayowakutanisha wanaume kwa haya matokeo pengine tungeshuudia mechi ikimalizika 0-0 huku mechi ikitawaliwa na mbinu chafu za kupoteza muda na kupak bus.
Kingine ni nadra sana kuona mechi za wadada zikigubikwa na maugomvi ugomvi kama kile ulichoona jana kikifanywa na akina Rudger.
Wewe kule kwenye jukwaa lako ulikuwa unawasifia sana tu wanawake wenu na kupost picha za matokeo yao. Baada ya wao kupotezwa na wanawake wa Man U, Chelsea na Arsenal, ukawatelekeza.Siku za nyuma ilikua nadra sana kukuta updates za kina dada, msimu unaenda kuisha kapa ghafla saivi humu kila mtu analeta updates za arsenal women ππ